Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Vinega waliingilia ugomvi pasipo kuchanga karata.

mwisho wamepotea... huwa na wa enzi "kwa kipande na wana" tu. Upo lkn chalii?
Nipo chali, ninapambana na maisha...maisha ni kutisha na sikutishana.
Nipo na majita wenzangu hapa kitaa wanadai hali ngumu,basi unakuta wanamalizia na goma la mabaga fresh

"Mtulize kabla hajakutuliza kudadek tunahasira utadhani tumemwagiwa maji-maji ya betri"

"Hali ngumu maisha yanatisha usawa unakaba Ndio maana Madada wameamua kuwa makahaba,ukiwa na kiasi cha mboga tu walahi madada hawakatai"

Mr.Daby sasa Kuna watu wanataka kupambana huku hajapima hata uwezo wake wa kuhimili mkiki mbaya zaaidi akishangiliwa na wafuasi hewa,sawa unaweza kuwa unyonywa lakini lazima utumie ubongo wako vyema na nyakati sahihi ili ushinde kwa ushindi wa K'O.
 
Haha
 
Niliwahi kusema Ruby ni msanii mwenye sauti na kipaji cha pekee lakini hana MAARIFA, NIDHAMU na amejaa USWAHILI
Kajifunza. Alivyokuwa anaomba msamaha leo ni wazi dunia imemfundisha.
 
Ila wanafanya muziki unaoendana hadi sauti. Mwanzo kabla sijamjua Nandy nilijua ni Ruby.
Huyu Aslay yuko label gani? Huyu na Nandy wana hit songs nyingi kwa wakati mmoja
 
Na klauzi chao hiki wanawafanya watoto wakike na wakiume wanavyotaka wao, hawa kina nshomile ni watu wabaya sana aisee
 
Huyu Aslay yuko label gani? Huyu na Nandy wana hit songs nyingi kwa wakati mmoja
Aslay hana label kwasasa ila yupo chini ya management ya Chimbuso aliyekuwa mkubwa na wanawe.

Wote wanashinda sehemu moja hao Tabata.. labda vibe zinawakuta wapo wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom