Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Ni uzuzu na kutojitambua kwa wasanii wa Tanzania hasa wakati huu ambapo social network ndio njia kuu ya mawasiliano, uwepo wa mitandao kama instagram, youtube, jf, fb na mingine inaweza kumsogeza msanii mbele na akauza kazi yake ya sanaa. Msanii kama Ruby anakipaji, watu wanajua na wanafurahia kipaji chake sidhani kama yuko makini angeshindwa kuuza bidhaa yake ya mziki kwa kutumia majukwaa yote niliotaja hapo.

Mfano, msanii akiamua kutengeneza album na akauza kwa sh.2000 tu, na akaamua kuwa ni project yake ya hata miezi 6 tu, na akaweka target ya kuwafikia watu laki moja(2000*100,000=200,000,000) atatengeneza 200M, hela ambayo hawezi pata kwa hiyo miezi 6, na hapo ni ameweza kuwafikia watu lakimoja tu.
 
Hiyo ni sawa na kumuomba msanii hela ili upige nyimbo zake. Badala ya kuomba hela wewe unamwambia akafanye shoo kwa gharama ya chini akikataa na kulalamika unaacha kupiga nyimbo zake. kwa nchi zilizokomaa kisheria wangeona kosa ila kibongobongo inaonekana fresh.
 
Mkuu, redio ziko nyingi na hamna msanii mwenye haki ya kupigiwa nyimbo zake kila redio.Vipi msanii akisema sitaki kituo fulani kipige nyimbo zangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom