Don't try this

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,836
730,288
image.jpg
 
Ndio ilikuwa shughuli yao akina power iranda na mwingine alijiita jitu la miraba minne walituokota sana waqt huo.
 
Power iranda baba ya maguvu jeuri ya Tanzania,nakumbuka 90s' ndani ya morogoro, mitaa ya mlapakolo.
 
Mkuu Mshana nahitaji Ile ngoma ya Beatrice ya Zahir Zoro,naipataje?? Nimeikosa kwenye mtandao.
Aisee huu wimbo bado shida kuupata mtandaoni ila sijakata tamaa kuna mdau alisema anao ila sikumbuki post
 
Back
Top Bottom