masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,886
- 15,101
Mkuu, barabara ipi, maana sioni breaking distance hapa Dar!jamani hiyo 150 ndo wasema tusijaribu wakati nilishapiga hadi 165 Dar
Na mimi naona hilo ndio biiig problem, washika camera vipi(na naona ameshindwa kufocus vizuri), na una endesha vipi?nadhani tatizo sio speed bali ni kupiga hiyo picha
Mkuu, barabara ipi, maana sioni breaking distance hapa Dar!
Ukitaka ujue raha ya Cruiser (hard top)hizi new model endesha kwa speed hiyo.
Afu iwe rough road.
Lami na cruiser unatafuta nini sasa?huku ni kuua gari tu, na kutafuta sifa zisizo za maana, kwanini usiseme iyo speed ukimbie ukiwa lami??
kwenye barabara ya vumbi ni kuua gari tu.
wacha hiyo mm nilishakizungusha hicho kimshale kikatoka 180km/h hadi kikaanza 0mph
lakini nilikuwa Garage na gari ilikuwa juu ya jeki
jamani hiyo 150 ndo wasema tusijaribu wakati nilishapiga hadi 165 Dar
uongo mtupu