mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Unafiki gheto weekend au hata weekdays kwanza....we ndo wa kwanza kunikumbusha tupeleke bill ya chips kwa Mayweather ,hapa umuhimu wako wa hata kupika siuoni .
Unakuta nguo chafu ghetto we ndo wa kwanza kulalamika ooh baby chumba chako hukiweki kwenye mpangilio ,usaf na nguo chafu hujapeleka tu kwa dobi?(hapa mchezo nausoma tu)
Kuanzia ijumaa hadi jumapili unalazimisha usiku lazima tutoke club au sehemu yoyote ile "nikakamulike maziwa"...nadhani ndo raha yako OK sawa....nikikataa tu kidogo ooh baby acha ushamba!!
Uko kila social networks ,Tango,facebook,twitter ,una magroup 25 whatapp etc stories zako ooh nime upload picha Instagram nimepata likes 10000 ,baby hata like yako sijaiona "una roho mbaya we janaume!!" Najinong'oneza hivi mbona hataki tupige story za MMU za kuelimisha mapenzini kama thread za kaka Mtambuzi ?
Mbaya zaidi unalalamika ooh week hii hujanipa hela yakusuka halafu imetoka fashion mpya ya High heel inaitwa kimkardashian naomba hela,Me sikunyimi utapata baby ( natimiza moja ya majukumu yangu) ,isitoshe huachi kuulizia "UNA MPANGO GANI NA MIMI BABY,UTANIOA LINI"? Harusi ya akina miss chagga ame upload instagram wamependeza....Daaah hua nasikitika sana rohoni sema mimi nikidume akili inakua tu kichwani wala sikuambii unakosea wapi kwa sababu hata wengi za mademu wa wasikaji zangu akina Mentor Kaizer Mashaxizo mshana jr kabanga wako hivi hivi siwezi nikakubadilisha kama wewe mwenyewe na kizazi chenu umuhimu wa kuwa HAWA/EVA hujauona
Nakuja kukufanyia evaluation umekuja hadi unaondoka nikijumlisha na zile gharama zangu za virungu vidogo vidogo through the week so far " UWEPO WAKO SIONI UMUHIMU WAKE " Man and half majibu ninayopata "HUNA UMUHIMU KWANGU" You are not wife material, You give me a reason to be a player

Last edited by a moderator: