Don't cry, I wont let them impeach you!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Dont cry....jpeg

No, Mitch Mcconnel, put him down. For how much longer are you going to carry all that burden around?​
 
Viongozi wababe wasiofuata sheria hawana nafasi ndani ya utawala wa kidemokrasia. Marekani walimwaga damu zao wakidai uhuru na haki...give me liberty or give me death. Kiongozi yeyote anayethubutu kutofuata sheria awe tayari kuwajibishwa.
You wish
..game imesha kwisha huko,
 
Yeah, Democracy at work...we have so much to learn. Support for impeachment is now 55% and growing.
Na wale supporters wao from Republican side waliokua wakiwaunga mkono wameanza kujitoa kwenye hili kundi lao.
Screenshot_2019-10-01-07-33-21-1.png
 
Viongozi wababe wasiofuata sheria hawana nafasi ndani ya utawala wa kidemokrasia. Marekani walimwaga damu zao wakidai uhuru na haki...give me liberty or give me death. Kiongozi yeyote anayethubutu kutofuata sheria awe tayari kuwajibishwa.
Hakuna kosa lolote alilofanya TRump kisheria,kama lipo litaje with evidence.Hili swali hata maliberals mnaulizwa hakuna mwenye jibu.Hata bibi yenu Pelosi hakuna anachujua.
 
Viongozi wababe wasiofuata sheria hawana nafasi ndani ya utawala wa kidemokrasia. Marekani walimwaga damu zao wakidai uhuru na haki...give me liberty or give me death. Kiongozi yeyote anayethubutu kutofuata sheria awe tayari kuwajibishwa.
Common sense VS Chuki,.Haya maneno mawili liberals yanawapa shida sana...
 
Trump anayapigisha kwata mademocrats, sasa Yamahangaika yatafuta pa kutokea
 
Nimeshangaa 47% tena opinions zinazotangazwa The Hill na CNN, huku bongo wao wanasema 55%.
Halafu ma liberal yasichokijua ni kwamba,Opinion na Facts ni mbingu na Ardhi.Kumtoa rais madarakani inatakiwa Facts with legal evidence,Sio kutuletea whisleblower ambae hana hata jipya zaidi ya Transcript ambayo WH washaitoa kwenye public...
 
Nimeshangaa 47% tena opinions zinazotangazwa The Hill na CNN, huku bongo wao wanasema 55%.
Ndugu yangu, inayoendeshwa sasa hivi inaitwa impeachment inquiry, yaani kuangalia kama kuna sababu za kutosha za kuendelea na impeachment. Baada ya upelelezi na sababu za kuridhisha kupatikana kamati ya House itatayarisha kinachoitwa articles of impeachment ambazo zitajadiliwa ndani ya House na kupigiwa kura.

Hizi zikipita ndipo ndipo mambo yatahamia Senate ambayo itakaa kama mahakama kuamua ama Trump aondolewe au abaki madarakani. Kesi itaendeshwa kwa kuangalia ushahidi uliopatikana na uzito wake huku waendesha mashtaka wakiwa ni wale wanaounga mokono impeachment na watetezi wakiwa ni wale wanaopinga impeachment.

Mpaka sasa ni asilimia 55% wanaounga mkono impeachment inquiry, 47% si tu wanaunga mkono impeachment inquiry, wanataka Trump aondolewe madarakani. Katika hawa wa pili vijana kwa asilimia 60% wanaunga mkono Trump awe impeached na aondolewe madarakani. Ambao hawataki kabisa impeachment ni asilimia 41%.

Kama unataka kusoma hiyo ripoti yote angalia hapa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom