Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
hahahahaahahah wazee wa moja hawa hapa hahahahah mwanamme wa kimoko sio rijali hahahahah ila Judgement nimekumis umepotelea wapi au umefichwa na kimoko chako hahahahaahahahahaha
nivea , kwanza bila kumung'unya nikuexpresie kwamba ogopa wazee wa bao moko!
Kama mususu afya mgogoro, ya kuungaunga kaa mbali na vya-mbegu wa bao moko!
Recently nakumbuka ilikua match ya mpira inaanza South Africa Vs Morocco, the same time namie ndy napanda juu yake! Believe or not match ya mpira iliisha mi sijadrop! Utan'taka!
Ni kweli sikuwa active Jf kwa muda, coz now days chtcht imevamiwa na mamtu yanaharibu ladha asili ya jukwaa! Ndy yanayotusababisha tukae kimya.
Last edited by a moderator: