Don't bet against Magufuli, utaliwa...

Kusema ukweli hii kesi ya ESCROW wa wapenda nchi ilikua na sura mbaya sana kwa Taifa letu. Lakini ni mapema sana serikali itafute mawakili wazuri sana maana mh!
 
Whaaaaaat are u saaaaaying
Kama mtu alimtimua best wake, akamuondoa bila ving'ora mpiga debe wa chama chake, sidhani kama unaweza kujaribu kucheza kamari dhidi yake na ukaweka hela zako kwamba "hatafanya"... utaliwa..

Ningekuwa mimi ni Tibaijuka, Chenge n.k ningekuwa naishi kwa wasiwasi sana..
 
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!

Wahamisha magoli wawe waangalifu
Mwanakijiji na wewe unakuwa draged kirasi hivi?? Ni lini uliona takukuru wakipeleka mtu mahakamani wanaitish hadi mkutano na wandishi wa habari?? Hata hili hujaliona?? Hizi ni movie na maigizo kama mengine tu, acacia imetulia sasa ni gia lingine ili siku zisogee, na hili nalo litaisha hivi hivi
 
Hivi unadhani kumpigisha magoti Karasinga mchezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…