Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Tulia
Mwaka huu anawakilisha jimbo la vunjo
Tulia naye atawakilisha jimbo lolote huko kwao uchaguzi ujao. Kama ilivyokuwa kwa mbatia kipindi kilichopita huruma ya rais na saa hizi kachaguliwa huko kwao.
 
Tulia

Tulia naye atawakilisha jimbo lolote huko kwao uchaguzi ujao. Kama ilivyokuwa kwa mbatia kipindi kilichopita huruma ya rais na saa hizi kachaguliwa huko kwao.
Hilo sahau kabisa
 
Hilo sahau kabisa
Kama wewe ndo mwenye uwezo wa kuzuia asichaguliwe basi ataendelea kuteuliwa kama anavyoendelea kuteuliwa Suzana Lyimo tangu 1995 ama 2000 au yule mwingine mtoto wa Ndesamburo miaka yote yuko bungeni kwa kuteuliwa, sembuse Dr. Tulia ambaye hata mwaka hana.
 
Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
Tunashukuru kwa hilo na wapiga kura walimuamini wakampa kura akawa mbunge wa Vunjo badala ya Mrema. Ukweli ni kwamba Mbatia hakusign cheque toka chukua chako mapema ili agombee ila wananchi waliamua wenyewe.
Barbarosa mshauri mwenyekiti wa CCM avunje vyama abaki na CCM ili muenxeshe nchi kivyema. Nimeona vyma vyote haviwezi kujiendesha sababu havina pesa, havina uhuru na havina ulinzi hivyo it is too early kwa kuwa na vyama vya upinzani hawajiwezi heri watawaliwe mpaka pale akija mtume wa kuruhusu demokrasia.
 

Mnajivunia cheo cha voda fasta? Cheo cha kupewa mezani...
 

Kwa CCM kila kitu kinawezekana ,Nchi anaweza pewa yeyote yule ilimuradi akubaliwe na wanene ktk NEC....
 
tatizo huyo Nasari hafuati kanuni , sheria na taratibu sasa yeye Tulia afanye nini jamani?!?!?!
Ulifuatilia kilichotokea au umehadithiwa? Unadhani kwa nini wabunge wote pamoja na wa ccm waliamua kutoka?
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Yaani avatar + ID yako ninejumlisha nikagawanya kuhusu hiyo avatar nikapata jibu.

Mbatia ni noma
 
Kunguni wewe kwani hujui kuwa yeye anatoka Jimboni na mwenzake kateuliwa na Rais,dont you see the difference?Hata wewe Rais akitaka uwe naibu spika si unakuwa?Acha kuchokoza watu wewe na usije ukaongea utumbo kama huu mbele za watu utajikuta ushasukumiwa ngumi hata kabla hujamaliza bila hata kuulizwa,acha kabisa mawazo mgando kiasi hiki.
 
Tuna mpango wa kufuta viti vya rais
 
Kwani kichwa Tulia amegombea kupitia jimbo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…