Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Mchumia tumbo anachekelea wenzake wanapokosa ila yeye apate.

Wabunge wa mafichoni ni 2-2 = ....
 
Haha Lumumba bhana. Tulia kaibuliwa from nowhere kaja kukalia kiti cha spika. Wote mnajua kamba alibebwa na serikali na hana uzoefu wowote wa kisiasa wala kibunge. Kuteuliwa kwa Tulia na kuwekwa pske ni dharau kubwa kwa wabunge wa ccm! Hivi kati ya Wabunge wote wa ccm hakukuwa na mwenye uxoefu na bunge na sifa ya kuwa naibu spika hadi ikabidi akatafutwe mbunge wa kuteuliwa aje awaongoze? Wabunge ws ccm ni hovyo kabisa!



 
Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka

Itakua..
Kwenye Godoro La Tanfoam kama sio Godoro Dododoma..
 
Atuambie pia na yale mahusiano yake mengine na Freeman Mbowe
 

Mkuu..
Hii komenti yako, kwangu itadumu kwa miaka Mi5..
Atakayo hudumu huyu bby mkuu..
 
Atuambie pia na yale mahusiano yake mengine na Freeman Mbowe
 
Hoja yako inaweza kupata mashiko pale utakapotushawishi kuwa ni nani zaidi kati ya aliyechaguliwa na wananchi pamoja kwa kura moja moja na yule aliyeteuliwa na mtu mmoja bila kujua 'alishauriana' na nani!
 
Nani akabidhi Nchi kwa Tulia ambaye Bunge tu limemshinda! Aakiachiwa Nchi Tulia siku Hiyo hiyo Jeshi litapindua Nchi hana weledi yy ni Tv remote ipo ikulu
 
Mama Tanzania amerudi uwanjani.

In politics, it is not always first come, first served.
 
Kongoza nchi Ni kazi isiyohitaji ujuzi na busara ingekuwa hivyo jpm asingekuwa ikulu
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James


Kuanza siasa mapema haihalalishi uwezo wake dhidi ya mwengine aliechelewa, mfano mdogo tu ajilinganishe na Zitto wote wanaongoza vyama ila yupi nyota yake inang'ara na yupi alieanza siasa kabla ya mwenzie!!!??
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Sasa hilo dongo liko wapi?
 
Hoja yako ni nini hapa? Una maanisha wewe ni mpuuzi tu kwa Dk Tulia kwa kuwa ana cheo kikubwa kukuzidi, au wewe ndiye JN? Unafahamu vita ambavyo NCCR Mageuzi imekabiliana navyo katika historia ya mfumo wa vyama vingi hapa Tz? Unafahamu nguvu iliyotumika kutaka kukisambaratisha zaidi NCCR Mageuzi kuelekea uchaguzi wa mwaka jana kwa sababu ya kuwa ndani ya Ukawa? Unafahamu nguvu iliyotumika kuhakikisha Kafulila wa NCCR Mageuzi harudi bungeni?
 

Kweli we akili yako imefika kikomo kwa akili yako mtu kama Tulia anaweza kuongoza Nchi au Ofisi ya Lumumba awabinulie ule mdomo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…