Gutapaka
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 283
- 218
Unajua kusifia dada yangu!Nina sifa zao nyingi kwanini moja tu?
Wanavutia kimuonekano
Wanajua kuuishi uanaume
Wako vizuri upande ule wa mahabani(romantic)
Wanono sana kwa bed,
Wako na akili nyingi
Nadhani hata Adam alikuwa black sio white Kama tunavyoaminishwa,
Nawazimia kinoma noma wanaume weusi mfano kale kakijana kanaitwa baraka da prince mwanaume akiwa vile kwangu nafarijika hata akinitongoza namsikiliza kwa makini na nitamkataa kwa adabu

