Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

Unakuta Mdada anajichubua ili awe mweupe halafu anakwambia kua yeye anawapenda wanaume Black! haya ni maajabu!
Wanawake wengi weupe wanapenda wanaume weusi! Ajabu wanawake weusi ni wagonjwa kwa wanaume weupe! Ni ngumu sana kujua rangi gani ni pendwa! Labda mzungu aliye date na mwanaume mweupe na mweusi anaweza kutoa fair analysis
 
Nchi masikini hizi ni shida sana yani mtu yuko radhi kukana utu wake kisa mali. Mali kitu gani life in other meaning. Wenzio wemeomba taraka kwa jeff bezos unajua kwann? Dad pesa sio kila kitu furaha nd kila kitu wenzio matajiri wanataman hata wanunue furaha ila nd haiwezekani. Afu mwanamke jitambue nafasi yako katika jamii kuna wanawake wanapesa mbona. Eti ushindwe kuwa na Mtu umpendaye kisa pesa na mwenye pesa hujui anampenda yupi.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kwani kuna sehemu nimesema mm sina pesa? Zangu za kula ninazo na matumizi yangu nayamudu mwenyewe. Sema nikipewa pesa nashukuru sana pesa ni tamu najua kuitafuta.

Nb najitambua.
 
Kwani kuna sehemu nimesema mm sina pesa? Zangu za kula ninazo na matumizi yangu nayamudu mwenyewe. Sema nikipewa pesa nashukuru sana pesa ni tamu najua kuitafuta.

Nb najitambua
Samahani lakini basi una tamaa moyoni mwako na inaweza kuwa hatari kwa mustakabali wa furaha yako unless otherwise umahanishe mwanaume anaejitambua labda ana uwezo wa kukidhi mahitaji fulani. All in all you're you. I wish you goodluck to find happiness in your rich relationships.
 
I don't care nawapenda jana Leo na hata milele, Ni chaguo langu mwanaume mweusi😍😍

Hujakatazwa kupenda dada hayo ni maamuzi yako, nilichokukosoa mimi ni sifa za uwongo ulizozitaja.
 
Hujakatazwa kupenda dada hayo ni maamuzi yako, nilichokukosoa mimi ni sifa za uwongo ulizozitaja.
Wasamehe hao mkuu wako emotional sana nd maan mapenzi yanawapaga kichapo sna. Eti anakazania wanaume weusi weusi sasa sijui anajielewa kweli hata hyo ngono anayoisifia kwa weusi kwamba hakuna weusi wazembe. Atleast angesema tu anapenda wanaume weusi kumaanisha colour zao eti wanatia kazi duuu.
 
Back
Top Bottom