Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

Dondosha sifa moja tu ya Wanaume weusi

magasi jnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
364
Reaction score
571
Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi

Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY...

NOTE: Comment ziwe fupifupi
 
Nina sifa zao nyingi kwanini moja tu?

Wanavutia kimuonekano
Wanajua kuuishi uanaume
Wako vizuri upande ule wa mahabani(romantic)
Wanono sana kwa bed,
Wako na akili nyingi

Nadhani hata Adam alikuwa black sio white Kama tunavyoaminishwa,

Nawazimia kinoma noma wanaume weusi mfano kale kakijana kanaitwa baraka da prince mwanaume akiwa vile kwangu nafarijika hata akinitongoza namsikiliza kwa makini na nitamkataa kwa adabu
 
Nipeni sifa zangu, nasoma comment zenu nikiwa na mke wangu hivyo visokorokwinyo msije kunitamani.
20210222_163609.jpg
 
Poleni na pilika pilika za maisha, Nichukue fursa hii kuwaomba wadada kuchukua walau dakika kadhaa kutaja sifa za wanaume weusi

Naamini kupitia huu uzi utatusaidia sisi wanaume weusi both PHYSICALLY na MENTALLY...

NOTE: Comment ziwe fupifupi
Ili uwe fit both mentally and physically unatakiwa uwe na pesa, kumbuka mwanaume asifiwi sura au rangi.
 
Back
Top Bottom