Dondoo za kupaa kichawi

Mchawi ana uwezo wa kukibadilisha kitu?
Yaani mfano kitu fulani kibadilike na kuwa kitu kingine
 
Mshana somo hili linatundisha nini kaka?, si ulishastaafu!? napenda nimeet na wewe siku 1 kwani inaonyesha una nondo za kutosha kuhusu ulimwengu usionekana.
Nimejiuliza hilo swali hata mie! mana naona imekua kama tangazo linalowavutia wengine humo wakati mtoa tangazo anasema kastaafu. SIJAONA FAIDA NA HASARA ZAKE. MLETA MADA ANGEJARIBU KUTUELEZA KWA NINI HAO WANAOTUMIA USAFIRI HUO WASIBEBE ABIRIA WAKAPATA PESA. AU ni matajiri! Vitu kama hivi kama vinaendeshwa kwa uficho lazima MADHARA yake ni MAKUBWA kuliko upeo wa kufikiri kwako nashangaa mnaotaka kujitumbukiza kichwa kichwa kwa matangazo rahisi
 
mbona kina Harry Potter walikua wanachomoka tu.......au wa kizungu ni tofauti nini
 
unaona fahali kutuletea mada za kichawi mara kwa mara,

lengo lako nini?
unapata faida gani?

hata hivyo inaonekana wewe ni mutumishi mwaminifu wa huyo unayemtumikia, hakika hutakosa kupokea ujira stahiki wa kazi yako.
 
kwahiyo hapo jamaa amepaki??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sijaelewa wachawi Wa kizungu wanasafir na Nguo wakiafrika wanasafiri uchi kwa nn
 
Wewe mshana utakuwa ni bonge LA mwangaaaaaa... Yaani kama we ndo Rafiki yangu tutaishia kupiga story tu!!! Kwangu hutapaju aiseee
 
Duh wewe jamaa am sure hata kama haufanyi inatakuwa ulisawahi kufanya sasa mambo kama haya ya kishirikina unayajuaje hebu type source
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…