Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,465
- 138,271
Ndiyo maana yake. Ila hivi vitokanavyo na kisukari ukizingatia usafi, dawa sahihi na kuthibiti kiwango cha sukari mwilini; baada ya muda vinapona.Kwani sifa ya Donda ndugu ni kutokutibika?
Ndiyo maana yake. Ila hivi vitokanavyo na kisukari ukizingatia usafi, dawa sahihi na kuthibiti kiwango cha sukari mwilini; baada ya muda vinapona.Kwani sifa ya Donda ndugu ni kutokutibika?
Kwa mazingira ya kijijini inaaminika hivyo. Msimamo wangu mimi uko tofauti. Ninaamini vinatibika kupitia tiba sahihi.Kwani donda ndugu halitibiki likipata huduma stahiki. Maana vidonda cya kisukali navyo havitaki wapiga ramli.
Nini kina sababisha hivyo vidonda ndugu kutokupona?Ndiyo maana yake. Ila hivi vitokanavyo na kisukari ukizingatia usafi, dawa sahihi na kuthibiti kiwango cha sukari mwilini; baada ya muda vinapona.
Wataalam wa afya wakija watatusaidia. Ninachoamini wakati mwingine na cancer nayo inaweza kuchangia.Nini kina sababisha hivyo vidonda ndugu kutokupona?
Hivi matumizi ya huu mzigo (wamavi) huwa ni nini?Akili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3704919
Wewe akili yako inawaza Exotic fishes tu, pumbavuAkili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3704919
Wewe akili yako inawaza Exotic fishes tu, pumbavu!
Akili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3704919
Akili zangu sasa dah! Eti nimewaza kuwa dondandugu ni mbususu 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3704919