Donald Trump: Tutaiongoza Venezuela hadi Serikali ya Wananchi itakapopatikana

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,690
Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.

Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta na madini nchini Venezuela ili kuwasaidia wananchi wa Venezuela, na kulipa fidia kwa serikali ya Marekani

Maana yake China, Iran na Urusi ndo wameondolewa rasmi
 
POTUS: "We're going to run the country until such time as we can do a safe, proper, and judicious transition.

"We don't want to be involved with having somebody else get in, and we have the same situation that we had for the last long period of years."

"So we are going to run the country until such time as we can do a safe, proper, and judicious transition, and it has to be judicious because that's what we're all about."

Hii ndiyo dawa ya Viongozi na serikali zisizoheshimu wananchi wake.
 
Yoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
Mimi huwa sijali jinsi madikteta wanavyoondolewa au wanavyoondoka madarakani,
Wakipigiwa kura na wananchi wakashindwa kuiba uchaguzi wakaondoka ni vizuri zaidi, wakijiuzulu ni vizuri, lakini pia kama hayo hayawezekani wakipinduliwa na wanajeshi ni sawa, wakipinduliwa na vyama vyao au watu wao karibu ni sawa, wakipinduliwa kwa mapinduzi ya raia ni sawa, wakiondolelewa na nchi nyingine kutoka nje ni sawa pia. Kwa ujumla lolote baya likiwakuta madikteta wadhalimu na waliofanya maisha ya raia wao kuwa magumu na mabaya ni sawa tu, i don't care.
 
Ni lini makampuni ya Marekani
yaliacha kuchimba mafuta Venezuela? Hujui kuwa Chevron bado walikuwa wanachimba mafuta Venezuela hata kabla ya uvamizi?

Marekani hana ubavu wa kuwaondoa China kwenye uwekezaji

Mwaka jana tu kampuni ya China CCRC iliingia mkataba wa miaka 20 kuchimba mafuta katika Ziwa Maracaibo, reserve kubwa ya pili kwa utajiri wa mafuta nchini Venezuela
 
Ni lini makampuni ya Marekani kama yaliacha kuchimba mafuta Venezuela? Hujui kuwa Chevron bado wanachimba mafuta Venezuela?

Marekani hana ubavu wa kuwaondoa China kwenye uwekezaji

Mwaka jana tu kampuni ya China CCRC iliingia mkataba wa miaka 20 kuchimba mafuta katika Ziwa Maracaibo reserve kubwa ya pili kwa utajiri wa mafuta nchini Venezuela
China na Russia sio wa kuwaamini
 
Yoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
Huwezi kuwanyanyasa, kuwakandamiza, kufanya ufisadi na kuwaua raia wako utegemee watasimama na wewe kwa sababu yeyote ile. Udikteta dhalimu kwa taifa unaua uzalendo wowote ule wa raia.
 
China na Russia sio wa kuwaamini
Ni lini China ilikuwa mshirika wa Venezuela kufikia hatua ya kusaini mikataba ya kulindana?

Mataifa yote ambayo nchi za Magharibi yaliwavamia kwa sasa yana ushirikiano mzuri wa kibiashara na kidiplomasia na China mfano Iraq, Afghanstan, Libya n.k

China imekuwa ikifanya kandarasi nyingi za ujenzi, imepewa mikataba ya uwekezaji na kuuza bidhaa zake

Sera ya China kutoingilia masuala ya ndani ya mataifa mengine imekuwa na manufaa kiuchumi
 
Hayo ni majizi yanataka mafuta tu, hakuna kingine
Watu wasio kuwa na maarifa wanafikiri yamekwenda kuwasaidia wananchi
Kumbe yamekwenda kuiba raslimali za Venezuela
Kama yalivyo fanya kwa Libya na kwingineko yaliko vamia yakijifanya yanatetea wananchi
Maduro alikua anawasaidia wananchi wa Venezuela?
 
Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.

Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta na madini nchini Venezuela ili kuwasaidia wananchi wa Venezuela, na kulipa fidia kwa serikali ya Marekani

Maana yake China, Iran na Urusi ndo wameondolewa rasmi
Duuuu nchi imepinduliwa.....fukuza kampuni za urusi china harakaaa
 
Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.

Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta na madini nchini Venezuela ili kuwasaidia wananchi wa Venezuela, na kulipa fidia kwa serikali ya Marekani

Maana yake China, Iran na Urusi ndo wameondolewa rasmi
Waje huku pia
 
Back
Top Bottom