Donald Trump akiingia ukumbini(GOP Convention) ni balaa!

Donald Trump akiingia ukumbini(GOP Convention) ni balaa!

Marais wote hao lakini hakuna mwanamke...duh!
 
Barbarosa Wewe si ndiyo uliandika kuwa bernie Sanders ndiye raisi ajaye wa Marekani?
Sasa kwasababu umesema Trumo ndiye raisi ajaye wa Marekani basi najua hawezi shinda, wewe hujawahi kuwa upande wa ushindi hata siku moja!
Ushamroga mzee wa watu asipate uraisi tena.
 
Hahah!, MALCOM huyu mtu ni shiider, sijui huwa anakurupukia wapi!
 
wanasema kitu chochote kilicho shindikana yeye trump kwake ndio mwanzo.
 
Barbarosa, hebu tupe na habari za mkewe Trump na jinsi alivyo-plagiarize hotuba ya Michelle. Na halafu wewe unashabikia na kusema Wamarekani wameamka huku ukisahau mambo mawili. (1) ni convention ya republicans hiyo siyo open kwa watu wote. (2) huyu jamaa anaendelea kukigawa hata chama chake. Repuglicans wazito wengi hawajaenda kwenye convention, na vurugu za mkutano zimekuwa kubwa. Tuacheni habari za mahaba niue..
 
Barbarosa, hebu tupe na habari za mkewe Trump na jinsi alivyo-plagiarize hotuba ya Michelle..........

Ha ha haa plagiarism ya hali ya juu halafu wanatoka mishipa kwa kusema eti hawakukopi hiyo speech.

Leo baada ya kubanwa ndiyo wamekubali, walifikiria uraisi ni mchezo wa chandimu.
 
Marais 44 hata rais mmoja mwanamke hakuna...duh!!
 
Uulizwe wewe unayeshangaa jinsia kwenye urais
Sasa mie niulizwe nini wakati mie nashangaa tu kuwa marais wote hao haikuwahi kutokea mwanamke ambaye wamarekani wakaona anafaa kuwa rais.
 
Back
Top Bottom