Wafikishwe na nani, Trump? Kwanza Wamarekani siyo signatories ICC.marais madikteta na wasigina demokrasia wa afrika wake mkao wa kufikishwa ICC.
Wafikishwe na nani, Trump? Kwanza Wamarekani siyo signatories ICC.marais madikteta na wasigina demokrasia wa afrika wake mkao wa kufikishwa ICC.
Mi nilijua labda na wazungu nao watapelekwa ICC.marais madikteta na wasigina demokrasia wa afrika wake mkao wa kufikishwa ICC.
Wazungu wana makosa gani? Haya maswahili ndio yatapelekwa ICC.Mi nilijua labda na wazungu nao watapelekwa ICC.
Basi makosa tunayo waaafrika tu.Wazungu wana makosa gani? Haya maswahili ndio yatapelekwa ICC.