Obama anakaribia kutangaza Marshal law, USA, new shooting in Florida

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786

2 dead in Fla. club shooting; terror ruled out

Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo mambo yanavyozidi kuharibika huko USA na Ulaya, yale yaliyokuwa yanatabiriwa siku zote yamekaribia kutokea kwamba Raisi wa USA Obama atatangaza marshal law na kufuta Uchaguzi ili aendelee kutawala yote hii ni kumzuia Donald Trump ambaye mpaka sasa hivi anaongoza kwenye kura zote za maoni!

Wamarekani wameshachoka na maleftist ma anti christ akina Obama, Clinton&Co. na wanaitaka nchi yao hivyo wako tayari kumkabishi nchi Donald Trump, jambo ambalo ni nightmare kwa maelite ikumbukwe Trump ametangaza kubadilisha sera ya nje ya USA maana yake ni kwamba hakuna kutuma Majeshi ya USA nje mpka kuwe na sababu ya msingi ambapo maisha ya raia wa USA yako hatarini, ataiondoa USA NAFTA, ataindoa USA WTO, ataondoa michango ya USA NATO, amesema tarehe 20/01 akiapishwa tu anaifumua ISIS yote, hivyo maelite wanahaha...
 
I suspect you are watching too much Fox News or maybe you are a provocateur. You believe in all kinds of conspiracy. Toka tulipoanza kusikia habari hizi za Obama kunyang'anya bunduki zote, kujenga majela ya kuwafunga mamilioni ya watu, na kutangaza marshal law, mbona hata moja halina dilili zozote? Are you sure you are alright, Barbarosa?
 
Tehe teh!, Barbarosa need a chill pill and a whole jug of water so he can cool down and chill out.
 
Back
Top Bottom