Donald Trump adondokea Pua,Matumaini Yafifia

Donald Trump adondokea Pua,Matumaini Yafifia

Makafir ndio nini si ndio maana mi namkubali sana ,sababu ni huu upumbavu wenu , na bila action hamtabadilika
Mkuu mimi ni mwenzako hujui hata kusoma jina!?
 
sina sababu ya msingi lakini imetokea tu huwa simpendi tu huyu jamaa
 
Ndio hapo huyu jamaa bila shaka hajui mchakato wa wagombea marekani jimbo moja then unasema kama tayari kashindwa? Wakati huyo trump majimbo mengi anainfluence kubwa
 
technology .....think outside the box.....to be the best you must beat the best!..,,donald trump manifesto doesn't hold in water at all,he can be a cheer up leader,not a president!there is a very narrow chance for trump to win ,ted cruz is likely to win,dig about trump and check on his influence...
 
sina sababu ya msingi lakini imetokea tu huwa simpendi tu huyu jamaa
Mi nimempenda kwa sababu kuu mbili moja uphilanthropist na pili kutoka kwenye kipindi cha celebrity apprentice.
 
Trump akishinda itakua ngumu sana kuingia states....uingereza watu hawana mzuka nako tena (Too many barriers) na opportunities chache.
 
Wamarekani wasipo mchagua trump kuwa rais wao wajiandae kulipuliwa maisha yao yote trump alikua anakuja vizuri na angewanyosha magaidi akili zao zingewakaa sawa .
 
Afadhali manake angepita dunia Ingekuwa sehemu hatari mno
 
Wamarekani wasipo mchagua trump kuwa rais wao wajiandae kulipuliwa maisha yao yote trump alikua anakuja vizuri na angewanyosha magaidi akili zao zingewakaa sawa .

You must be joking! You can't possibly be serious.
 
Trump sura yake kama Mavi ya kale,na akili yake hivyo hivyo
 
Hillary Clinton wa Democrats ameshinda kwa Ushindi mwembamba sana wa 49.9 wakati mpinzani wake Ben kapata 49.6
 
Back
Top Bottom