Don Shkuba Yupo Huru

anasema alirejeshwa baada ya pesa kukosekana😂😂.
wakati huo anadai madawa bado yalikuwepo,sijui walikuwa wanauza kwa bei ya hasara!
Hela ya madawa haingii serikalini hio ni hela ya inaingia mikononi mwa watu wachache wafanye wanachotaka. Serikali ilikuwa haina hela ila viongozi wanazo utawalazimisha viongozi watoe hela zao walizopiga kufanya maendeleo. JPM alikuwa kiongozi mzuri lakini kasoro yake kubwa na iliyomuangusha ni Unafiki. Ukiwa mnafiki unawavuta wanafiki wawe karibu yako kuna kipindi alikosa mtu wa kuteua mpaka Bashiru Ally alipewa vyeo viwili. JPM alijifunza mengi sana kipindi cha mwisho wa maisha yake although it was too late. Lakini cha ajabu CCM bado haijajifunza na makosa yake. Bado Serikalini Teuzi zinafanyika kishabiki, nchi ni kubwa sana kuongozwa na mawazo ya mtu mmoja peke yake. Inabidi uwe na team inayokuchallenge, na kukupa mwongozo wa upande mwingine wa shilingi. Kwangu mimi natamani Tanzania iendelee hivi hivi ije kuwa kama Congo ili nikirudi nipige hela vizuri kwa raha. Na tukifikia status ya Congo itakuwa Rahisi kwa wanaotaka kuzamia Ulaya. Tunaelekea kuwa a failed state haijalishi tuwe na rais wa aina gani. Kikwazo kikubwa cha maendeleo ni mfumo na si mtu(Rais).
 
Those who know don't talk. Those who talk, don't know.

Capo di Tutti Capi.La Cosa Nostra. Omerta
 
Sura km nguruwe... Mtafute Lucas Mwashambwa umuoe
 
Na source zenu za "trust me broooo......".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…