Yule Bishoo chach alifarikinimezaliwa mtaa huo na kukulia mtaa huo mtaa wa duka la maimartha [emoji1] aaaah! nyumban ni nyumban bwnaa
Miaka ya zamani hapo hata wakina maimartha hawajaja mjijini ndy ilikuwa kijiwe chetunimezaliwa mtaa huo na kukulia mtaa huo mtaa wa duka la maimartha [emoji1] aaaah! nyumban ni nyumban bwnaa
Yah chch Bishop huyoChacha mkubwa alifarik bwana
Iq na ukatili zaidi ya muasi wa jeshi...Ni shughuli ambayo Iq yako inabidi iwe vizuri la sivyo hata rivals wako wanakupoteza
Makuka nlikutana naye ujerumaniWakina makuka wapumzike kwa amani aisee
Damon dash ananijuwa vzr sanaKinondoni sasa ya chach mdog bwna
Magay yuko dizonga anakjqgq bingokina magaya
Makuka nlikutana naye ujerumani
Ujuwe....
Makuka aliokota hela dola za 3000
Walienda piga kazi masaki akaokota
Akaja speed nyumban kwangu nyuma ya garden mango wakat uwe teja teja
Akawa anataka ushauri,nkamwambia
We kwa hali yako bongo tembea aende njee
Beka akaja fanya mpango akasafiri
Huko na uteja aliachaaa
Akawa mbavu, sema ndy hivyo aliuguwa
Sahv huko kuna yule bwg kabaki anamsarandia a.mqcheni kamuoaa
Qnataka kmchkuaa [emoji1]
Ova
Wajinga lazima wageuzwe mitaji ya werevuHili bwege linaona ni sawa tu watoto wa wenzake wakiangamia, wake wakienda shule nzuri.
Alikuja kufanya usafi kwangu akaomba ushauri nkamsikiaHiy naijua aliokota dodo kwa muhindi ila sikuwa kujua kuwa wewe ndo ulimpa hiyo idea ya kusepa
Mkulima mzuri sana sahv tuko wote mashambani hukoAiseee kwel hatar ally mmoja yupoo kwel
Noma sana mkuuOne of my best series. Humo ndani kuna balaa la Emelard city 😃.
Haswaaaaa, yani mwny macho makali haambiwi tazama.Si unaona yard nyingi za magari za mapaka zinafumuka tu,wale sasa ndy wenyewe ehhh...
Ova
Huyu kuwahi kutoka sio ndio alochomoa waya kwa wazee ili apunguziwe kifungo kweli?Tiko aliwahi kutoka mapema sana yeye alikaa mwaka na miezi kama 7 hivi we unadhani ameacha kufanya hii biashara yenye Asali ya utamu