georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Habari wana jamvi nimepokea kwa mshituko mkubwa maneno ya vyombo vya Habari kupotosha ukweli kiasi kwamba inaonekana ni kweli.
Kuna makubaliano juzi muwakilishi WA EU wasainiana na Serikali ya Tanzania makubaliano ya kuipatia tsh 490 bilion Sasa watu wameipeleka kwenye tsh kama ilivyo.
Ambayo ukipiga hesabu inakuwa tsh 1000.+Trion Ambayo ni pesa ya ajabu Sana siijui waandishi WA Habari hawakuliona Hilo kosa