Dola moja 2400! Magufuli aondoke aachie ngazi hana faida kwa watanzania

Wewe unaangalia google wakat sehemu nyingi za kubadilisha fedha zimefika 2400?
Wewe utakuwa mpuuzi mmoja usiye na maana yeyote... we unadhani rate inaweza kutofautiana kwa kiasi kikubwa kama ulivyotaka kutuaminisha
 
Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400
Nimeangalia tangu uandike huu Uzi ni saa moja imepita,I'm sure mods wataufuta kabla ya saa 2 usiku.
Ngoja nichangie kabla Uzi haujafutwa.
Magufuli ni rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania, tatizo hili limeletwa na kikwete kwa udhaifu wake.
Magufuli hatufai,kufikia mwakani June dola moja itakuwa sh 5000 au zaidi,kila mara huwa najiuliza hivi huyu Magufuli ndo tukae naye miaka 7 iliyosalia kweli?
Hapana Magufuli atupishe kwa amani kabisa,la sivyo nchi itachafuka hatuwezi kumvumilia mtu asiye na uwezo wa kuongoza nchi, anawaza kuua upinzani,kuteka watu hovyo na kuua watu.
Magufuli hutufai ondoka utuachie nchi yetu.
 
We jamaa comment yako ni hii tu kila post kwanini? huna kitu kingine cha kuchanga kwani? mara ya 3 nakuona leo hiii na comment yako ni hii tu dizaini ume Ctrl+C then kila post we kazi yako ni Ctrl+V tu...! badilika banah
Usimpangie namna ya kutoa comments ,uasi ni lazima kwa serikali za hovyo hovyo kama hii
 
Nimeangalia tangu uandike huu Uzi ni saa moja imepita,I'm sure mods wataufuta kabla ya saa 2 usiku.
Ngoja nichangie kabla Uzi haujafutwa.
Magufuli ni rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania, tatizo hili limeletwa na kikwete kwa udhaifu wake.
Magufuli hatufai,kufikia mwakani June dola moja itakuwa sh 5000 au zaidi,kila mara huwa najiuliza hivi huyu Magufuli ndo tukae naye miaka 7 iliyosalia kweli?
Hapana Magufuli atupishe kwa amani kabisa,la sivyo nchi itachafuka hatuwezi kumvumilia mtu asiye na uwezo wa kuongoza nchi, anawaza kuua upinzani,kuteka watu hovyo na kuua watu.
Magufuli hutufai ondoka utuachie nchi yetu.
Kama panya road tu wanawashinda sidhani kama mtaiweza ccm!mapinduzi huwa yanaanzia miji mikubwa!lakini kwa wanaume wa Dar wanakesha tu kwenye media hakuna chochote zaidi ya udaku
 
We jamaa comment yako ni hii tu kila post kwanini? huna kitu kingine cha kuchanga kwani? mara ya 3 nakuona leo hiii na comment yako ni hii tu dizaini ume Ctrl+C then kila post we kazi yako ni Ctrl+V tu...! badilika banah

We jamaa comment yako ni hii tu kila post kwanini? huna kitu kingine cha kuchanga kwani? mara ya 3 nakuona leo hiii na comment yako ni hii tu dizaini ume Ctrl+C then kila post we kazi yako ni Ctrl+V tu...! badilika banah tamuuuuu
 
Kwa hyo dola ndio inaendesha au kupima uchumi wa nchi tulia andika vzuri sio kukurupuka tu
 
Back
Top Bottom