Dola moja 2400! Magufuli aondoke aachie ngazi hana faida kwa watanzania

aondoke kwa lipi wewe unamiliki dola ngapi nyumbani kwako fanya kazi acha kelele.........ni maneno niliyomwambia mfanya kazi wangu baada ya kuwa tumbo limeshiba
Ada Gaddaf alikiwa na wafuasi na wapambe ila walipoona hali imekuwa ngumu wengine waliepusha mbawa zao.
 
Afadhali Spiriani Musiba kashaanza kutufikirisha watanzania kuwa Kuna mtu sahihi wa kutupeleka tunapopataka ivo ni muda tu.
 
Kwa hyo dola ndio inaendesha au kupima uchumi wa nchi tulia andika vzuri sio kukurupuka tu
Wewe ni fisi maji unaendeshwa na matope kichwani km kipimo cha dola ndo uchumi kukuwa weka kipimo chako
 
Ha
Samahani mkuu.

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Haaaa a haaaa haaaa jamani nimecheka
 
Sijui niseme huyu baba ni profitless kwetu kiukweli
.
.
Dola 2400 halafu bado yupo ikulu???rais gani wa hovyo hivi??

Magufuli achia ngazi huna faida kwetu umeua nchi kwa mambo yako yasiyoeleweka yo should go out

Haya mliokua mnamshangilia huyu jpm mko wapi???hamtutaki hata buree hana faida kwa watanzania

Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????
Oneni dola ilivyopanda halafu mnamwita rais wa wanyonge!!!!!!!!!!!!!!

Sehemu nyingi za kubadilisha fedha wameanza kukata 2400 kwa dola moja kuna watu wanakimbilia google kuangalia mnaonunua mitandaoni na baadhi ya maduka na sites nyie ni mashahidi sehemu nyingi mno dola moja ni 2400
Ila mkuu, pamoja na yote hayo Rais hana uwezo wowote wa kimaamuzi kwenye currency exchange, ni hiyo central bank ndo inafanya manipulation ya value ya pesa yetu
 
Ila mkuu, pamoja na yote hayo Rais hana uwezo wowote wa kimaamuzi kwenye currency exchange, ni hiyo central bank ndo inafanya manipulation ya value ya pesa yetu
Why isipande thamani inazidi kushuka???? Wewe huoni kuna factor za muhimu za kiuchumi zinafanya pesa ishuke au kupanda thamani...
 
Asipoachia madaraka itakua kosa kubwa sana sijui mungu tulikukosea nini????!
Sidhani kama anakosa hate lepe la usingizi kwa issue ya shilingi kuporomoka. So, suala la kuachia madaraka halipo na halitatokea
 
Nyie ni wa kufunga jela tu ...kwa upotoshi huu View attachment 957060
Wewe
Hebu fanya update za apps zako
Screenshot_20181205-210412.jpeg
 
Back
Top Bottom