PostGE2025 Dola la Kushi lipo njiani. Afrika yote itapiga mguu sawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,938
Reaction score
41,098
Salaam!

Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu.

Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana.

Move background ni kuanzisha Dola ya Kushi. Kushi Empire, hii yaja na mabadiliko ya viongozi Afrika nzima.

Kiongozi wa mpango huo ni yule yule Nyikani, ndiye aliyesaidia nchi nyingi Afrika kujikomboa.
Traore style ndiyo njia itumikayo kuiunganisha Tena Afrika irudi kuwa Dola Imara.

Ni kweli kuna watu wataumia, ila big picture ni kuwa, hii njia italeta manufaa makubwa kiuchumi kwa Afrika Ili kutimiza ndoto za waasisi kina Kambarage. Pia itatimiza unabii wa Africa kuwa na nguvu kiuchumi kuilisha Dunia, kuwa kimbilio la mataifa, kupeleka injili Dunia nzima Ili kuandaa ujio wa YESU Kristo kulichukua kanisa lake.

Usishangae yanayotikea Nyikani, gamba linavuliwa kwa maumivu makali.

Mungu ibariki Nyikani.

Aaamin.
 
Tanzania hakujawahi kuweko na uchaguzi wa kweli, 1995 - 20015 walikua wanaogopa sana kuiba lakini walikua wanaiba kura. Kuanzia 2020 ikawa wazi kabisa wakajua kumbe hakuna madhara. Ikawa ndiyo precedent
 
Sawasawa, baba askofu tuvushe, tunaimani na wewe na Mungu yupo na sisi haki itamalaki
 
Tanzania hakujawahi kuweko na uchaguzi wa kweli, 1995 - 20015 walikua wanaogopa sana kuiba lakini walikua wanaiba kura. Kuanzia 2020 ikawa wazi kabisa wakajua kumbe hakuna madhara. Ikawa ndiyo precedent
Tangu uhuru,

Uchaguzi wa Lowasssa vs Magu ndio pekee ulileta wananchi wengi kwa maelfu kupiga kura.

Na ndo wa mwisho.

Baada ya hapo..
 
2020 ilitabiriwa maandamano Tz, kumbe ni ndoto.

Uliamini yangetokea kwa Hawa waliodharaulika?
Maaandamano na dolanyankushi ni different magnitudes
wverbody knew kwamba maandamano yangetokea its just watawala ndio waliouwa wamekaza fuvu

But dola la kushi is something else
 
Muwe mnajitahidi pia kuleta mirejesho ya hizo prophecies, Siyo mnatabiri tu halafu hamleti mirejesho ya kufeli kwenu.
 
Back
Top Bottom