Dola kuishughulikia CHADEMA

Makada kadhaa wamelalamikia kitendo cha CCM kutochukua hatua kadhaa kumdhibiti mgombea wa uraisi kupitia chadema Dr. Slaa; makada hao ambao wengi wao ni mafia walisomea Urusi na Romania, walilaumu mbinu hafifu zilizotumika kumdhibiti Dr. Slaa, kada mmoja alikaririwa kwa kusema " walijaribu kuweka vinasa sauti Dodoma sasa walitaka wamsikie anavyosoma Biblia? Tuliwaomba vijana watuachie kazi lakini walikataa wakidai hii ni karne ya 21 mbinu za kizamani zingeshindwa kumnasa Slaa, enzi zetu kazi hii ingekuwa ndogo sana tungetafuta kijana kiume wa kimbulu tungempatia kiasi kidogo tu kama tshs 5m alichotakiwa kusema ni Slaa kanilawiti !!! kwa kauli hiyo sisi tungemaliza mchezo ni mtanzani gani duniani ambaye hajawahi kuisikia kashfa ya ngono inavyotikisa kanisa katoliki duniani? Basi nakuhakikishia Slaa angekuwa anahangaikia dhamana kipindi badala ya kufanya kampeni za uchaguzi" Kada mwengine mwingine alimlaumu Raisi Kikwete kwa kutowathamini alidai Raisi Mkapa aliwathamini sana ndio maana haikuwa kazi kubwa kwao kuwamaliza watu kama, Mtikila,Mrema na Dr. Salmin hata hivyo walidai bado hawajachelewa kama wataombwa msaada kiufundi wako tayari kusaidia.
 
Naona wabadili jina waitwe usalama wa CCM bse kama ni wa taifa wanatakiwa kuwa Objective au wanaogopa Dr akiingia madarakani atawatimua?
Mjiandae kuchapa mwendo
 
Mnamwuliza source wakati mnaona kajiunga ijumaa wiki iliyopita! Badala ya kwenda msikitini siku hiyo akaishia kwenda internet kutunga uwongo wa kutuma JF. halafu anadai amefunga. Huku ni kufunga kula mapapai tu.
 
Mkuu BB,
U made my day..
 
Kwanza itambulike pia kuwakubali watu hawa ndo tunayaandaa mazingira ya kuwashawishi watu ambao wanaendelea kuushikilia 'Umimi' waweze kuuweka pembeni na kuunganisha nguvu za pamoja.
Ni lazima katika dunia hii tuwe flixible na liberal na sio kuwa hardcores tu.
 
chama
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri Aug 2010
Posts23
Thanks : 5
Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power
 
Mnamwuliza source wakati mnaona kajiunga ijumaa wiki iliyopita! Badala ya kwenda msikitini siku hiyo akaishia kwenda internet kutunga uwongo wa kutuma JF. halafu anadai amefunga. Huku ni kufunga kula mapapai tu.

kauli kama hizi ndio zinazo fanya chadema ionekane cristian party. hapakuwa na sababu ya kutaja neno msikiti. haya mnajisumu wenyewe
 
Makada kadhaa wamelalamikia kitendo cha CCM kutochukua hatua kadhaa kumdhibiti mgombea wa uraisi kupitia chadema Dr. Slaa; makada hao ambao wengi wao ni mafia walisomea Urusi na Romania, walilaumu mbinu hafifu zilizotumika kumdhibiti Dr. Slaa, kada mmoja alikaririwa kwa kusema " walijaribu kuweka vinasa sauti Dodoma sasa walitaka wamsikie anavyosoma Biblia? Tuliwaomba vijana watuachie kazi lakini walikataa wakidai hii ni karne ya 21 mbinu za kizamani zingeshindwa kumnasa Slaa, enzi zetu kazi hii ingekuwa ndogo sana tungetafuta kijana kiume wa kimbulu tungempatia kiasi kidogo tu kama tshs 5m alichotakiwa kusema ni Slaa kanilawiti !!! kwa kauli hiyo sisi tungemaliza mchezo ni mtanzani gani duniani ambaye hajawahi kuisikia kashfa ya ngono inavyotikisa kanisa katoliki duniani? Basi nakuhakikishia Slaa angekuwa anahangaikia dhamana kipindi badala ya kufanya kampeni za uchaguzi" Kada mwengine mwingine alimlaumu Raisi Kikwete kwa kutowathamini alidai Raisi Mkapa aliwathamini sana ndio maana haikuwa kazi kubwa kwao kuwamaliza watu kama, Mtikila,Mrema na Dr. Salmin hata hivyo walidai bado hawajachelewa kama wataombwa msaada kiufundi wako tayari kusaidia.

:suspicious:
 
....kumnasa Slaa, enzi zetu kazi hii ingekuwa ndogo sana tungetafuta kijana kiume wa kimbulu tungempatia kiasi kidogo tu kama tshs 5m alichotakiwa kusema ni Slaa kanilawiti !!! .......

Washindwe kwa jina la Yesu!
 
Ukishindwa kura za maoni staili ya sasa ni kutunga habari. Why should we trust you if you are not one of them. FIRST POST na kampeni zimeanza juzi !!! Mh!! Yangu macho mwaka huu!
 
Lakini kuna mambo yanapita bila kujadiliwa kwa undani.

Je mheshimiwa Mabere Mrando amefuata nini CHADEMA na ni kwanini anazungukazunguka ndani ya wigo wa siasa za vyama vingi ambao yeye alishiriki kuuanzisha akiwa NCCR Mageuzi?

Mtu wa pili ni huyu mheshimiwa Arcado Ntagazwa nae vipi leo akiwa mwanasiasa mkongwe anafuata nini CHADEMA?

Hawa wanasiasa wawili ni watu wazito sana na je CHADEMA ilitakafuri kwa kina kabla ya kuwakaribisha?

Una maana gani? Kwani kuna sheria inayomzuia mtu kuhamia chama anachoona kinamfaa? Hao wawili ni kama Watanzania wengine ambao wameona kuna dalili ya ukombozi wa Tanzania kupitia Dr Slaa (mzalendo wa kweli). Una swali lingine?
 
Back
Top Bottom