Dola kuishughulikia CHADEMA

Jambo moja linanifanya niamini hakuna mpango wowote wanaoweza kufanya CCM na usalama wa taifa wakafanikiwa. Jambo hilo ni kuwa; CCM, na usalama wa taifa kwa sasa vinaongozwa na VILAZA walipewa hizo nafasi kwa dili na kujuana. Hatutegemei wapange mkakati weney akili...
 
 
Ni vyema wabongo tukae mkao wa kuchuja vizuri mambo. Sie wengine twajua kura zetu tutampa nani, nyie endeleeni tu kujichanganya tunawaona sana, watanzania hawa sio wale wa enzi hizo. Haya jamani!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Habari za kutia moyo-japo kidogo-ni kwamba ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa kuna watu wasioridhishwa na mwendendo wa taasisi hiyo,na hawa ndio waliokuwa amana kubwa kwa Dkt Slaa katika upatikanaji wa nyaraka mbalimbali.Wanaoandaa mkakati huu wanapaswa kutilia maana who they are dealing with this time around.Ni mtu makini,mwenye support katika circles mbalimbali (kama ilivyokuwa kwa JK 2005 except for integrity ya supporters hao) na he surely knows the thuggery of Third World Intelligence services.
 
Haya maneno yanaendana na ukweli kwa asilimia zaidi ya mia moja!
 
nguvu ya umma
sauti ya umma
peoples POWER
Watanzania wa jana si wa leo... mabadiliko ni lazima piga ua galagaza....Chadema mbele kwa mbele nchi hii ni yetu wote...
 
Nahitaji muda ili niyaamini hayo manake we ni kama mzoefu wa hapa ila kwa hii...Hatudanganyiki
Junior Member

Join Date
Sun Aug 2010
Posts
1
Thanks : 0
Thanked 16 Times in 1 Post
Rep Power
0

Nipe muda!
 
dah ni noma coz hiyo inshu ya mwisho part c/ nimesikia leo kwa TBC habari yule mzee makamba anasema kwamba eti slaa kaweka pingamizi kwa kuwa hataki wafanyakazi waongezewe mishahara..what a damn iz thiz????eti ooh dr slaa anaona wivu kwa wafanyakzi kuongezewa mishahara ???wakati kasahau kuwa dr slaa atapandisha huo mshara kuvuta kipimo chao ccm i mean 315000...sasa cccm inafikia kikomo chake..anyway nasubiri pingzamizi lifike mahakamani tusikie majibu yao..
 
Lakini kuna mambo yanapita bila kujadiliwa kwa undani.

Je mheshimiwa Mabere Mrando amefuata nini CHADEMA na ni kwanini anazungukazunguka ndani ya wigo wa siasa za vyama vingi ambao yeye alishiriki kuuanzisha akiwa NCCR Mageuzi?

Mtu wa pili ni huyu mheshimiwa Arcado Ntagazwa nae vipi leo akiwa mwanasiasa mkongwe anafuata nini CHADEMA?

Hawa wanasiasa wawili ni watu wazito sana na je CHADEMA ilitakafuri kwa kina kabla ya kuwakaribisha?
 
watanzania kwa fix,mko mbali!you can fool some people for some time but you can't fool all the people all the time!

pengo sometimes fools does'nt realize that are fools and u might be one of them, but you have an opportunity to evaluate urself, kwa sababu hata enzi za utumwa kulikuwa na domestic slaves ambao walikuwa hawataki kujikomboa kwa sababu walilizika na makombo waliyokuwa wanakula kwa slave master na kulala ndani ya nyumba ya slave master hivyo utamwambia nini ili akuelewe mtumwa wa aina hiyo ambaye hataki kusikia habari za ukombozi kabisa,

lakini watumwa wanaofanya kazi za shuruba waliona nia ya kujikomboa na kuwa huru hivyo wewe huna tofauti na domestic slave, hiyo ni history lakini no matter how hard and long it takes one day we gonna write a new chapter in this country na watu kama nyinyi mtakuwa hamna nafasi katika tanzania mpya kwasababu fisadi ni fisadi tu huwezi kumbadilisha na serikali ya chadema itakuwa nightmare kwa watu kama nyinyi ndo maana unaona bora taifa lako liangamie lakini ubinafsi wako uendelee kushamiri, hiyo ni laana kubwa kwa generation yako na mungu atakuonyesha maajabu
 
Asante kwa kutuhabarisha. Hata mi nilistukia gazeti la Mtanzania jinsi ilivyoandika habari za ufunguzi wa kikao Chadema. Tuwa macho na tuwaelimishe jamii juu ya hili, hasa wale wasiotambua haraka njama hizo.
 
Hizi mbinu chafu za CCM na Viongozi wake Wakuu zinaonyesha PANIC. CHADEMA tusitishike. A dying horse kicks hard without knowing where his killer is!

Sisi CHADEMA tuwageuzie kibao zaidi: Tuendeleze ile hoja aliyotoa Mhe. Slaa pale Jangwani Jumamosi iliyopita kwamba CCM imeingiza Helikopta mbili kutoka nje baada ya tarehe ambayo Sheria ya Matumizi ya Fedha za Uchaguzi imekataza. Tendwa na Lewis Makame wafahamishwe kwamba wanatakiwa kuchukua hatua.

Endapo tarehe ya kuingiza hizo helikopta ilikuwa ni wakati marufuku, basi JK na CCM hawawezi kushiriki ktk hizi kampeni.

This may appear 'far-fetched', but we must keep them distracted from their unholy manouvres.
 
Duh! Hii taarifa kama ni kweli, si mchezo ati.

Nahisi mwezi wa kumi kunaweza kutokea vurugu kubwa nchini. God forbid!
 

Hawana muda huo kwakua si watu makini. Wanaangalia tu watapata wapi weekness za kuzifanya mada kwenye siasa. Very bad.
 
 
RICHARD NAOMBA UTAMBUE KUWA VYAMA VYA SIASA SIO KAMPUNI BINAFSI. KWA KUWA VINAPOKEA FEDHA ZA KODI ZA WANANCHHI VINAPASWA KUENDESHWA KATIKA NAMNA YA KUTOKUWA NA RESTRICTIONS ZISIZO ZA MSINGI. CHADEMA HAS PASSED THE TEST OF TIME THAT'S WHY EVERYBODY RESPECTS IT.

NILWAHI KUSEMA HAPA KUNA TOFAUTI KATI YA KAZI YA CHAMA NA KAZI YA SIASA. NI KUTOKANA NA KUPENDEZWA NA KAZI YA CHAMA YA WAASISI NA VIONGOZI WA CHADEMA NDIO MAANA WANACHAMA WA VYAMA MABALI MBALI, WASIO NA VYAMA TUNAUNGA MKONO CHADEMA 2010 KWA NIA YA KULETA MABADILIKO TANZANIAWITHOUT INTERFEERING KATIKA KAZI YAO YA CHAMA. SISI NA AKINA MARANDO TUNAFANYA KAZI YA SIASA KATIKA JUKWA IMARA LA CHADEMA.

KAMA NI FOOTBALL MARANDO NDIO ALIKUWA NYOTA JUMAMOSI NDIO MAANA WAMEJITOKEZA KUMJIBU KWA KUWA ALITOA CREDIBLE INFORMATION AMBAZO CCM WAMETUMIA ADMINISTRATIVE PROCEDURES KUZIZUIA ZISITOKE. THE BEST PART OF IT HATA SUNDAY NEWS IMEMSIFIA dR SLAA KUWA ALIKUWA SOBER, WITHOUT UNSOBER PEOPLE WATANZANIA WASINGEKUMBUSHWA KUWA TATIZO LETU KUBWA NI UFISADI KUTOKANA NA ADMIN PROCEDURESD WALIZOWEKA.

HIYO LUGHA ZA KIBAGUZI, NI VYEMA ZIKAKOMA MARA MOJA. HATA WANA JFI SIO WOTE WANACHAMA WA CHADEMA, ILA MWAKA HUU SUPPORT YETU IKO CHADEMA,

SASA IKIWA WACHACHE WATAANZA DHAMBI YA KUWABAGUA WENGINE NDIO MAANA VYAMA VYA UPINZANI VINASHINDWA KUUNGANA.

KUTOKANA NA VISION YAKE CHADEMA NI FORUM AMBAYO 2015 ITALETA MUUNGANO IMARA WA OPPOSITION,

NAOMBA UMUOMBE RADHI MARANDO NA WENGINE NA UACHE KAULI ZA KIBAGUZI.
 
 
MAHESABU hivi unafahamu Internatuional Bill of Rights amabyo huunda Katiba za nchi mabali mbali ikiwemo Tanzania. Kupata utetezi wa kisheria ni moja ya Haki za Msingi za Binadamu yeyote.

Hata wauwaji upatiwa msaada wa kisheria na Tanganyika Law Society (TLS) bure. Hivyo hakuna dhambi Marando as a registered lawyer kuwatetea watuhumiwa wa EPA kama ambavyo hupangiwa na TLS kusafiri kwa gharama zake kwenda mikoani kuwateta watuhumiwa wa mauaji am,bao hawana uwezo wa kupata utetezi wa kisheria.

Ni lazima katika dunia hii tuwe flixible na liberal na sio kuwa hardcores tu.

Bila ya kuwatetea watuhumiwa hao Marando angepata wapi nafasi ya kutoa aliyoyaona katika kesi hizo? As a lawyer of his credibility it is the first time mababa wa CCM donors, wametake note juu ya ulaghai wa kesi zilizoko mahakamani kuwa ni danganya toto. Je hiyo sio kazi ya kujenga maslahi ya taifa?

Hamuoni kama ameongeza value katika mission yetu?.

Hebu tujiulize kama Mhe Samwel Sitta, Spika wa Bunge angekuwa mbaguzi kama baadhi yetu tulivyo, na asingemteua Dr Slaa Mbunge kutoka opposition kuwa Mwenyekiti wa Kudumu ya Kamati Hesabu za Serikali za Mitaa, uzoefu na exposure alivyo navyo leo mgombea wetu angevipata wapi?

Kujenga Taifa siokulilia msalahi ya kikundi kidogo, la sivyo mission itakuwa kuwatoa CCM na kuchukua nafasi yao katika "status quo"

Ni lazima kama libretors tutazame mambo katika perspective ya kitaifa, tuvumiliane na kuachana na fikra kongwe za KiCCM za kubaguana.

Kwa sayansi iliyopo hivi sasa duniani hakuna uendeshaji vyama kwa siri kama zamani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…