Dola imepanda hadi nimeshangaa hali ni ngumu

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Miezi sita iliyopita nilikuwa nikifanya matangazo ya online, nilikuwa nikikatwa shilingi 2550 kwenye matercard ya vodacom kwa dola moja

Le siamini Dola moja inakatwa zaidi ya sh 3100 kwa ajili ya kulipia mambo mbali mbali mtandaoni hasa sisi tunaotafuta ugali wetu kupitia mitandao nimechoka aisee
 
Inatakiwa dollar ifike 10,000/= kwa dollar moja ili walau tuanze kuzalisha na kutumia vya ndani badala ya kuagiza nje kwa dollar, maana uwezo hautakuwepo tena. Hata nishati ya magari itabidi tuanze kusindika CNG kwa gesi ya hapa nchini.
 
Miezi sita iliyopita nilikuwa nikifanya matangazo ya online, nilikuwa nikikatwa shilingi 2550 kwenye matercard ya vodacom kwa dola moja

Le siamini Dola moja inakatwa zaidi ya sh 3100 kwa ajili ya kulipia mambo mbali mbali mtandaoni hasa sisi tunaotafuta ugali wetu kupitia mitandao nimechoka aisee
Bado kaza mkanda itafika mpaka 5000 muda sio mrefu
 
Miezi sita iliyopita nilikuwa nikifanya matangazo ya online, nilikuwa nikikatwa shilingi 2550 kwenye matercard ya vodacom kwa dola moja

Le siamini Dola moja inakatwa zaidi ya sh 3100 kwa ajili ya kulipia mambo mbali mbali mtandaoni hasa sisi tunaotafuta ugali wetu kupitia mitandao nimechoka aisee
Fungua account ya dola ndio utumie. Kutumia mastercard ya voda sijui airtel kwenye malipo ya dola ni utoto/ukosefu wa akili.

Nenda stanbic ufungue personal current acc ya usd ndio ufanyie malipo ya usd
 
BOT wanasababisha uwepo wa black market sababu wanagoma kubadilisha thamani halısı ya pesa yetu dhidi ya USD. Proper intervention ni kuingiza $ za kutosha mtaani na sio kuweka fixed value halafu mwisho wa siku $ hazipatikani.
Usomi ndo unawaponza.

Dola zimekwapuliwa na walafi, hao BOT wakiwepo.
  • Raisi alipokuwa akitunza kwa dollar kwenye sherehe ya ndoa, mlifikiria nini?
  • Wakina Doto Magari, wanauza magari kwa dollar cash, mabulungutu, halafu unasema BOT wapele dollar mtaani?

Doto magari na the like, kufanya biashara kwa cash, mabulungutu ya dollar na tshs;
  • Ni ishara tosha kuwa UFISADI UMESHIKA hatamu.
  • Pesa haramu zinatakatishwa.
  • Pesa za wizi HAZIWEKEKI kwenye mifumo rasmi ya kifedha.

Bado huoni hilo?

Endeleeni kukumbatia ujinga wa WAKAAZI, nchi inazama hii, mkishtuka, kimebaki kilele cha Mlima KLM tu, kama ilivyobaki(gi) MV Victoria enzi zile.
 
Back
Top Bottom