kwa hiyo ?
Hadi nyerere anaachia madaraka thamani ya shilingo dhidi ya dola ilikuwa tsh150, mwinyi akachukua kijiti hadi tsh 500, mkapa kachukua kijiti na kufikisha tsh1200, na kikwete tsh 1800.
Conclusion:Tangu tupate uhuru hakuna hata rais aliyefanikiwa kudhibiti thamani ya shilingi dhidi ya dola!
Duu kama somalia
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi
Nilitaka niagize kagari used from Japan nimeamua kuahirisha kwanza bajeni niliyo panga haiwezekani tena ilikua kwa dola 1700 makadirio ya juu.mkuuu ni shidaa sana aisee mm nilikuwa kunamtu kasema nintumie pesa fulani ili aweze kuniagizia/kuninunulia mashine flan online kituko kikaanza hivi jioni nimepiga hesabu vizuri kuwa $ dola ni sawa na 1700 tz kufika asubuhi namtumia pesa benki onamaliza naangalia rate ya dola nakuta ni sh 1751 nikachoka ikabidi nimwambie jamaa nyingine nitamtumia kwa tigo pesa aliyoongezeka.
kufika jioni jamaa analipa ananambia rate ya dola ni 1789 duu nikachoka now ww unanambia 1800 Mpaka jk anaondoka madarakani hakika itafika mpaka 3000 au 2500