Dokta wa mifugo na ushauri wa watoto mapacha

The Listener

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
993
213
Kuna Bwana Mmoja na mkewe walikuwa wakijadiliana idadi ya watoto wanaowataka baada ya kuwa tayari walikuwa wamekwishazaa watoto wawili wa kike waliokuwa wakipishan kwa miaka mitano. Bwana mkubwa akawa anahitaji sana kupata mtoto wa kiume. Katika kuhakikisha kuwa azma yake inatimia alijaribu kupata ushauri toka kwa rafiki yake wa karibu aliyekuwa anafanya kazi ya udaktari wa mifugo. Mungu si Athumani mkewe akashika ujauzito lakini baada ya miezi tisa akajifungua mapacha wa kike. Hadi leo hii anawashauri watu kwamba wasijaribu kupata ushauri wa madaktari wa mifugo katika utabibu wa masuala ya kibinadamu
 
Scanning..,12%
521689 threats found
File corrupted and not read from the source
 
Breaking News Naibu waziri wa nishati kaibiwa kila kitu hoetelini Morogoro nasikia alikuwa na kimada wanahisi ndo kamkomba kila kitu dogo kazidi kwa uzinzi kama bosi wake
 
Mi nimeelewa, yani jamaa alihisi mke wake kazaa mapacha kwa sababu ya ushauri wa dk wa mifugo.
 
Back
Top Bottom