Dokezo kuhusu Dini ya Uislam


Kuhusu kufufuka kwa Yesu naomba Tuamini Quran.

Quran 19 : 33 - 34
"Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa, na siku nitakayokufa, na siku nitakayofufuliwa kuwa hai."
"Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. (Huu ndio) kauli ya kweli ambayo ndani yake wanafanya shaka."

Au tuamini hii aya
An-Nisa (4:157-158): "Wakasema: Hakika sisi tumemuuwa Masihi, Issa mwana wa Maryam, Mtume wa Mwenyezi Mungu. Wala hawakumua wala hawakumua, bali alifananishwa nao. Na hakika walio khitalafiana juu yake wamo katika shaka nayo. Hawana elimu yoyote nayo isipokuwa ni kufuata dhana tu. Wala hawakumua kwa yakini. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hekima."

Either way. Yesu hajafa yuko hai..
 
Nimekujibu, ibada gani ? Sababu maulidi ni jambo la uzushi, jambo ambalo Mtume hajalifundisha. Sasa unaposema Kuna ibada zinafanyika ni ibada gani hizo ?
Kwanj mnaposheherekea sikukuu ya Did na kufanya ibada inakua inada gani? Sikukuu ya maulid huwa hamswali?
Swali langu ndio lipo hapo, ikiwa Ni uzushi kwa nini bado waislamu waaedelea kusheherekea maulid?
Hii sikukuu ya maulid hapa mkifanya ibada
 
Naomba ushahidi wa hili.
Bro Kisai kwan ulikuwa hujui hili.

Haya chat gpt anasema hivi.
Mkiletewa hoja mnaishia kusema dhaifu au ushahidi.
Ushahidi wa kimazingira uko hapo.

👇👇👇
Kabla ya Uislamu, kabila la
Quraysh lilitawala Mecca na Kaaba ilikuwa kituo kikuu cha kidini kilichojaa masanamu, likijumuisha miungu mkuu kama Hubal na mabinti zake watatu, Allāt, al-'Uzza, na Manāt, pamoja na miungu mingine 360 iliyoabudiwa ndani na kuzunguka Kaaba, ambayo ilikuwa ishara ya ibada ya ushirikina hadi Mtume Muhammad alipoifungua na kuondoa masanamu hayo, akirejesha Kaaba kwa ajili ya Mwenyezi Mungu pekee.

Ushuhuda wa Kihistoria na Dini ya Kabla ya Uislamu:

- Kaaba kama Kituo cha Kidini: Kabla ya Uislamu, Kaaba ilikuwa mahali patakatifu ambapo makabila mbalimbali yalikuwa yakiweka masanamu ya miungu yao, na Quraysh, walioitawala Mecca, walikuwa walinzi wakuu wa eneo hili.
- Miungu Mbalimbali: Dini iliyokuwa imeenea ilikuwa ushirikina, ikiwa na miungu mikuu kama Hubal (mungu wa mwezi), na miungu ya kike ya nguvu: al-Lāt, al-'Uzza, na Manāt.
- Sanamu 360: Inasemekana kuwa kulikuwa na masanamu 360 yaliyowekwa ndani ya Kaaba, yakionyesha ibada ya miungu mingi (polytheism) kabla ya kuwasili kwa Uislamu.

Ushahidi wa Kitabu:

- Uharibifu wa Masanamu: Vitabu vya Kiislamu vinasimulia kuwa Mtume Muhammad alipoingia Mecca kwa ushindi, aliamuru masanamu yote yaharibiwe, jambo lililoashiria mwisho wa ibada ya ushirikina na kurudisha Kaaba kwa ibada ya Mungu mmoja (Allah).
 
Kwanj mnaposheherekea sikukuu ya Did na kufanya ibada inakua inada gani? Sikukuu ya maulid huwa hamswali?
Swali langu ndio lipo hapo, ikiwa Ni uzushi kwa nini bado waislamu waaedelea kusheherekea maulid?
Hii sikukuu ya maulid hapa mkifanya ibada
Naona umekuja ninapo pataka, kwetu sisi swala ni jambo la lazima, na lazima usali hata kama unafanya uovu wako. Swala ni Ibada na kusherehekea Mualidi ni jambo la uzushi.

Kama alivyo mwizi anaweza kuiba na akaswali kama kawaida, kwahiyo atapata madhambi kwa wizi wake.
 
Hoja yangu Kuna kunasibishwa na Kiarabu, kwa maana ya lugha, ila kusema bila uarabu hakuna Uislamu hii sio sahihi.
Wapi niliposema bila uarabu hakuna uislam? Sababu ungeweza kutokea hata America au Africa.
Hata pia siwezi kusema bila nyerere Hakuna ccm, sababu pengine ccm ungeweza kuanzishwa hata na mwingine. Ila sababu ilianzia kwake lazima tunasibishe ccm na nyerere, ndio hivyo hivyo kwenye uislam
 
Sasa rekebisha swali lako au hoja yako ili ilete maana. Uislamu unanasibishwa na lugha ya Kiarabu sababu Qur'an imeshushwa katika lugha ya Kiarabu na sio Uarabu.
 
Safi kabisa, Sasa rejea ulichokiandika na hiki kipo sawa, huko nyume umedai walikuwa wanazunguka al Qaaba mara 360. Ulichokiandika ni tofauti.
 
Haya chagua nikupe jibu lako kwa kutumia AI yako unayotumiaga humu kiasi watu wakakupuuza au mimi na nikuumbue?

Nimekusoma

MBINU UNAYOTUMIA HAPA (ujanja ujanja)
FALLACY OVER-extrapolation😀

Unachosema kinaanzia kwenye utafiti halali, lakini hitimisho lako halifuati ushahidi. Unachanganya masuala ya maandishi na madai ya imani.”
PROPAGANDA

KUWA MKWELI USIPINDISHE
NIKUJIBU
 
Sasa rekebisha swali lako au hoja yako ili ilete maana. Uislamu unanasibishwa na lugha ya Kiarabu sababu Qur'an imeshushwa katika lugha ya Kiarabu na sio Uarabu.
Unataka kukitenga kiarabu na waarabu? Kiarabu ni lugha ya waarabu, unatakaje tena kuvitenga? Sawa na utake kukitenga kichagga na wachagga
 
akikujbu hapa vzr bila porojo leo naslimu aisee. NIPO TYR KUCHUKUA DHAMBI ZOTE ZA SHETANI NA MIMI NDIYE NIWE SHETANI NAYE SHETANI ASAMEHEWE KULIKO KUWA MUISLAM dini ya harakati za ksiasa inayoenezwa kwa vita..dini mungu anayepganiwa na wanadamu.

Silimu , toa shahada

Ndiyo, Allah ndiye aliyeamrisha Tawaf katika Qur’an (22:29). Idadi ya mara 7 haikutajwa na Qur’an, bali imeelezwa na Mtume Muhammad ﷺ kupitia Sunnah. Waarabu walikuwa wanazunguka Ka‘aba kabla ya Uislam, lakini walikuwa wameipotosha ibada kwa shirki. Uislam haukuanzisha Tawaf, bali uliirejesha katika Tauhid kama alivyoamrishwa Nabii Ibrahim
 
Unataka kukitenga kiarabu na waarabu? Kiarabu ni lugha ya waarabu, unatakaje tena kuvitenga? Sawa na utake kukitenga kichagga na wachagga
Sasa mbona unahamisha hoja tena ? Uarabu ni utamaduni, ada na desturi. Uislamu ni njia sahihi kufika kwa Allah.

Waarabu katika ada zao ilikuwa mtu akipata watoto wa kike, wanawauwa, Uislamu ukaja kukataza jambo hilo. Sasa leta mifano hai.
 

Ukiprove kuwa nimeitoa AI naingia ukristo hapahapa

Usikimbie hoja kwa visingizio vya AI , Hiyo nimewajibu wakristo humu hata kabla ya kuanza hiyo AI

Ile aya ni ya kuchakachuliwa soma biblia ya NIV utaona
 
Kwenye sijawahi kutokuwa na hoja, ndio maana wenye hoja nawajibu, Sasa mpumbavu huwa anapuuzaa kama hivi.
Yes
Tena kwa point ile ulioitaja ndio nimeona
wewe akili yako ni 🚮
Unavutia upande wako ?
 
Ukiprove kuwa nimeitoa AI naingia ukristo hapahapa

Usikimbie hoja kwa visingizio vya AI , Hiyo nimewajibu wakristo humu hata kabla ya kuanza hiyo AI
Hujanielewa hoja yangu
Nimekuuliza tu maana kwa kejeli unajua kwaanini? Kwasababu ndio ulivyozoea,

KATIKA SWALI LAKO ULILO ULIZA UMEPINDISHA NA KUWEKA UONGO
PROPAGANDA, so why ufanye hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…