Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Tofautisha kunyanyua na kubeba wewe binti mdogo anaweza kubeba baunsa lakini hawezi kunyanyua
Hahahaaaaa Haya bana
Tofautisha kunyanyua na kubeba wewe binti mdogo anaweza kubeba baunsa lakini hawezi kunyanyua
Hahahaaaaa Haya bana
Hahahaaaaa Haya bana
ndio hali halisi nguvu za kubeba na kunyanyua ni tofauti bhanaaa
Zamani, tulikua tunambiwa tupeleke jembe shuleni
Mkalime shuleni?
Ndio garden za shule,