CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 663
Kwenye orodha hiyo pia mwekeni GSM! Ila yeye sijui alipataje haya mahela ya kununua bidhaa viwandani kwa jumla na na kuziuza kwa rejereja, yaani ULANGUZI! Labda ni zile za kodi aliyosamehewa na TRA , sijui!Huyu ni sawa na MO Dewji.
Wamepata shortcut ya maisha.
Ila jambo la kipekee kwao ni akili ya kuendeleza biashara na ubunifu.