Dogo wa miaka 19 aliyefungua biashara ya 75M+

Darmian ahsante sana kwa kuibua hoja muhimu na yenye kujenga mkuu.

Kwa upande wangu wazo la biashara linalofaa ni kitu muhimu sana. Lakini pia kusimamia uendeshaji na kuhakikisha wazo linakua biashara inayojiendesha ni sehemu muhimu.

Nimeona wengi wana fursa ya mtaji na kupata pesa lakini hawana wazo thabiti lamtaji lenye tija.

Tukirudi kwa huyu jamaa, ni kweli familia imembeba lakini sio kila anayetokea familia bora ameweza kufanya jambo la maana hususan kwenye biashara.

Fikiria angeweza kuamua kutembelea gari aliyopewa akafanyia anasa. Lakini kwa kuwa alikua na malengo, akaamua kuuza limsaidie kutimiza ndoto yake.

Kusave gakujamsaidia kutengeneza hiyo M 75+ lakini ni kitu muhimu sana kwa mjasiriamali. Inakupanidhamu ya pesa, watu wote waliofanikiwa, wananidhamu ya pesa, haijalishi unafanya biashara gani, kama hauna nidhamu ya pesa hautafika popote, hasa maendeleo endelevu.

Mwisho, kwa yeyote yule, ni vizuri kuwa na ndoto, namaanisha wazo lililofanyiwa kazi, malengo na mpango wa kutekelezeka.
Usipokua na wazo mathubuti, hata ukipewa 20M hautafanya jambo la maana, nafasi ya kufanikiwa ndogo sana.
Umenena vyema mkuu..

Na ulipo malizia kwa kusema whatever the bussiness,NIDHAMU YA PESA ni jambo la muhimu sana.
 
Hahahah wabongo bwana, mpeni credits zake tu mazee. Mi sijamfuatilia ila wacha nitaangalia hio clip yake nimskilize. Ila pizza na million 75+ ndipo ambapo sioni connection ya moja kwa moja. Ama amejenga hio ofisi kwa pesa hizo hizo from scratch maana navojua biashara huwa tunakodi majengo!
 
Vitoto vya kibepari.Hakuna kipya hapo,ukiona kuna tajiri ujue kuna maskini anayemnyonya.
Halafu utasikia wajinga wachache watakwambia vijana waige mf wa scot.

Mfumo mbovu utaendelea kutengeneza tabaka tawala na tabaka tawaliwa.Wakati huyu anapewa Alteza ya kutembelea mwanafunzi wa kisarawe hana hata uniform za shule.
Nilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video hiyo..

Kwenye maelezo yake amesema alikuwa na lengo la kuwa na biashara yake kabla hajafikisha umri wa miaka 20+..

Alianza kusave fedha ambazo nyingine alikuwa akilipwa na mama yake alipokuwa anamsaidia katika kazi zake..

Pia aliuza gari aina ya Toyota Altezza aliyopewa zawadi na baba yake ili aongezee kwenye mtaji huku pia akiomba backup kutoka kwenye familia yake..

Katika maelezo yake nikagundua huyu kijana pongezi ninazoweza kumpa ni kuwa na idea ya biashara na kuishi katika ndoto zake and nothing else..maana inaonyesha familia yake iko vizuri,kwahiyo suala la mtaji sio big deal sana..

Wakuu katika jukwaa hili mnalipi la kuongea kuhusu kijana huyu na je biashara ni kweli inaanzia kwenye idea au both idea na mtaji vinaitajika ila kuanzisha biashara??
 
Hata sisi wengine tuna idea ila mkwanja ndio tatizo
Hilo ndio tatizo, na idea ya biashara ili ionekane watu wavutiwe nayo lazma iwe kisasa zaidi which means more investment should be made on Branding! Naona wengi wenye ideas zinazopendeza wametia hela nyingi kwenye branding kuanzia logo mpaka mpangilio wa duka na kwa kweli yanapendeza ila hesabu zake ndio utaskia million 8 hapo nje ya mtaji ambao unachukua sehemu ndogo sana.
Mfano: Mark Juice na Lolo Juice
 
Vitoto vya kibepari.Hakuna kipya hapo,ukiona kuna tajiri ujue kuna maskini anayemnyonya.
Halafu utasikia wajinga wachache watakwambia vijana waige mf wa scot.

Mfumo mbovu utaendelea kutengeneza tabaka tawala na tabaka tawaliwa.Wakati huyu anapewa Alteza ya kutembelea mwanafunzi wa kisarawe hana hata uniform za shule.
Hahahah mtoto wa Kibopa aliandaliwa mazingira toka awali, sidhani kama hilo wazo ni la kushtukiza toka kwa mtoto kuna uwezekano mkubwa wazazi wame play role katika kumjenga kijana kuwa hivyo kuwa kutusua lazma aingizwe biasharani mapema azisimamie kisha akimudu vyema afunguliwe yake mbeleni.
Ni kawaida kwa watoto wa kichaga na wa kihindi ama kiarabu kuingizwa kwenye business game mapema ili iwajengee misingi mizuri ya kusimamia fedha kiasi kwamba akifikia umri wa kukomaa anaweza pewa mtaji akaanzisha yake na ikaenda vyema!
Tuchunguze background yake tu, unaeza kuta wazazi wake ni wafanyabiashara wakubwa tu mjini town hapo!
 
Hongera kwake. Hiyo brand ya Scott pizza ni yake au amenunua kama ilivyo kwa KFC na Pizza Hut? Nimemsikia akisema anataka iwe world wide ilhali tayari Scott pizza ni maarufu sana huko USA baby
 
Tatizo kubwa kwa vijana wengi tunakata kuanzia alipo modewji .ila ukwel ni kwamba mafanikio ya kudumu yanachukua mda sana pia yanaitaji moyo wa uvumilivu bila kusahau akili iliyokomaa ambayo inaweza kuona tatizo na kulifanya kama fursa . kingine ni lazima tujaribu hata kwa kidogo tulicho nacho atakama tutafeli ila utokuwa sawa na yule ambaye haja jaribi kabisa .( data ni muhimu kwa kila kitu )
 
[emoji23]
IMG_20181007_132600_695.jpeg
IMG_20181007_132723_195.jpeg
IMG_20181007_132755_851.jpeg
 
Nilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video hiyo..

Kwenye maelezo yake amesema alikuwa na lengo la kuwa na biashara yake kabla hajafikisha umri wa miaka 20+..

Alianza kusave fedha ambazo nyingine alikuwa akilipwa na mama yake alipokuwa anamsaidia katika kazi zake..

Pia aliuza gari aina ya Toyota Altezza aliyopewa zawadi na baba yake ili aongezee kwenye mtaji huku pia akiomba backup kutoka kwenye familia yake..

Katika maelezo yake nikagundua huyu kijana pongezi ninazoweza kumpa ni kuwa na idea ya biashara na kuishi katika ndoto zake and nothing else..maana inaonyesha familia yake iko vizuri,kwahiyo suala la mtaji sio big deal sana..

Wakuu katika jukwaa hili mnalipi la kuongea kuhusu kijana huyu na je biashara ni kweli inaanzia kwenye idea au both idea na mtaji vinaitajika ila kuanzisha biashara??
Pongezi kubwa kwake kwakuweza kutumia alichojaliwa na Mungu maana wenzake wanawazaga starahe tu
 
Nilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video hiyo..

Kwenye maelezo yake amesema alikuwa na lengo la kuwa na biashara yake kabla hajafikisha umri wa miaka 20+..

Alianza kusave fedha ambazo nyingine alikuwa akilipwa na mama yake alipokuwa anamsaidia katika kazi zake..

Pia aliuza gari aina ya Toyota Altezza aliyopewa zawadi na baba yake ili aongezee kwenye mtaji huku pia akiomba backup kutoka kwenye familia yake..

Katika maelezo yake nikagundua huyu kijana pongezi ninazoweza kumpa ni kuwa na idea ya biashara na kuishi katika ndoto zake and nothing else..maana inaonyesha familia yake iko vizuri,kwahiyo suala la mtaji sio big deal sana..

Wakuu katika jukwaa hili mnalipi la kuongea kuhusu kijana huyu na je biashara ni kweli inaanzia kwenye idea au both idea na mtaji vinaitajika ila kuanzisha biashara??
Millard ayo ana videos zake ambazo ukiziangalia ukaiingia kichwa kichwa unaweza ukadhan mda wowote utapata bm yan.

Sa huyo dogo kwao kupo vzr tyr alaf anaongelea m75 kama mtaji wa kuuza karanga yan.

Uliza biashara ynyw n nn, PIZZA bongo eti.
 
Walewale akna ng'oo deujii pesa wanazikuta kibao kwao....yaani mpka mzazi anakupa zawadi ya gari ....
 
Nilikuwa kwenye Youtube channel ya Millard Ayo nikakutana na stori ya kijana mmoja kwa jina Scott ambaye ni Mtanzania,aliyefungua biashara ya restaurant ya Pizza na ikanivutia kuangalia video hiyo..

Kwenye maelezo yake amesema alikuwa na lengo la kuwa na biashara yake kabla hajafikisha umri wa miaka 20+..

Alianza kusave fedha ambazo nyingine alikuwa akilipwa na mama yake alipokuwa anamsaidia katika kazi zake..

Pia aliuza gari aina ya Toyota Altezza aliyopewa zawadi na baba yake ili aongezee kwenye mtaji huku pia akiomba backup kutoka kwenye familia yake..

Katika maelezo yake nikagundua huyu kijana pongezi ninazoweza kumpa ni kuwa na idea ya biashara na kuishi katika ndoto zake and nothing else..maana inaonyesha familia yake iko vizuri,kwahiyo suala la mtaji sio big deal sana..

Wakuu katika jukwaa hili mnalipi la kuongea kuhusu kijana huyu na je biashara ni kweli inaanzia kwenye idea au both idea na mtaji vinaitajika ila kuanzisha biashara??

Hamna jipya kazaliwa tajiri huyo tuleteeni ma true heroes. Yaleyale ya kokobangaz kuwalisha watu matango pori kuwa ka hustle wakati familia yake ilikuwa na access na wakuu wote wa nchi
 
Hiyo inspiration inawahusu vijana wakishua tu wale mnaosubiri baba zenu wastaafu au wafe wale wenzangu na mimi chai vitumbua endeleeni na shule tu mtaanza kuona dalili ya utajiri mkiwa na miaka 29+ wakati huo huyu bwana mdogo sijui atakuwa wapi kiuchumi.
.
HAYA MAISHA NI YAKIBAGUZI SANA
 
Back
Top Bottom