Chaimaharagwe
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 177
- 27
Baunsa mmoja kapumzika sehemu dogo
mmoja akamfuata.
DOGO: Oyaa blaza saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue!
DOGO: siondoki mpaka uniambie saa
ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na
nusu
DOGO: poa ikifika saa 9 nakuja kukutia
dole
BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga
hunijuii
akaanza kumfukuza, dogo kakimbilia
nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee
nje ya ile nyumba
BAUNSA:Kuna dogo kaingia humu ndani
namtaka!
MZEE:Ndio nimemuona,
kafanya nini?
Ni mjukuu wangu
BAUNSA:Ah Kanambia eti ikifika saa
tisa atakuja kunipiga dole!
MZEE:sasa HARAKA YA NINI?
VUMILIA KIDOGO,
BADO DK 20
😜😜😜😜☝
mmoja akamfuata.
DOGO: Oyaa blaza saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinsumbue!
DOGO: siondoki mpaka uniambie saa
ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na
nusu
DOGO: poa ikifika saa 9 nakuja kukutia
dole
BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga
hunijuii
akaanza kumfukuza, dogo kakimbilia
nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee
nje ya ile nyumba
BAUNSA:Kuna dogo kaingia humu ndani
namtaka!
MZEE:Ndio nimemuona,
kafanya nini?
Ni mjukuu wangu
BAUNSA:Ah Kanambia eti ikifika saa
tisa atakuja kunipiga dole!
MZEE:sasa HARAKA YA NINI?
VUMILIA KIDOGO,
BADO DK 20
😜😜😜😜☝