Dogo muhuni ila he is very smart

Dogo muhuni ila he is very smart

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,727
Reaction score
11,109
Kuna dogo mmoja kiukweli ni muhuni ni level za ujambazi kabisa akitoka akirudi anarudi na simu kubwa nyingi kijiweni ni kuziuza tu elfu 50 ila hauzii mtu anaemjua ni wageni tu

Siku moja kijiweni walikuja maaskari wawili kumkamata alichomoa sime na panga akawaambia kama nyie wanaume kweli nifuateni

Hapo ndiyo niliona show zake live ni mtu mwenye mahesabu mengi mno very calculated kwa watu anaojuana nao hafanyagi kabisa ujinga ana shiriki shughuli zote za kijamii
 
Hama hapo unapopaita kijiweni,utakuja kuishia pabaya,

Mtu anakwapua simu za watu unamuita very smart? Huyo dogo hajakutana na watu bado,ngoja akutane na watu kama hujampost na mishumaa.
Dunia ilivyoumbwa huwezi wakosa watu kama hao
 
Dunia ilivyoumbwa huwezi wakosa watu kama hao
Umeelewa nilichokiandika lakini? Nimekutahadharisha kukaa mbali na huyo dogo,pia huo ujinga na hatari anayo ifanya sio ya kumsifia,

Siku akikwapua simu ya watu wa familia yako utamsifia bado? Akipigwa kiberiti utaendelea kumsifia? Watu wa hivyo hua hawana mwisho mwema.
 
Umeelewa nilichokiandika lakini? Nimekutahadharisha kukaa mbali na huyo dogo,pia huo ujinga na hatari anayo ifanya sio ya kumsifia,

Siku akikwapua simu ya watu wa familia yako utamsifia bado? Akipigwa kiberiti utaendelea kumsifia? Watu wa hivyo hua hawana mwisho mwema.
Hawezi kukwapua ya ndugu zangu
 
Usimsifie msikitikie watu wa hivyi huwa hawawi na mwisho mzuri unless ashtuke haraka aache
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Mwaka 1972 Arusha kuna jambazi alikuwa anaitwa Mnyori alisumbua sana Arusha
Hata polisi walikuwa wanamuogopa sana.
Aliyekuja kummaliza na kumhamisha duniani na kumpekeka kwa Mungu ni mama mmoja wa kimasai muuza gongo.
Unakumbuka kale kafala kaliitwa Dangote ka Arusha kalikufaje? juzi juzi tu hapa hata miaka miwili bado kupita
 
Wajiandae kuna siku watapata taarifa dogo kauwawa alikamatwa na polisi akajaribu kumshambulia kwa silaha askari. Kisha Askari akamuwahi.
Huenda ila yupo sharp anajiita IRON FIRST
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom