Dogo kaharibu !

Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
3,462
Likes
6,403
Points
280
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
3,462 6,403 280
unasemaje we mtoto, huna adabu, nyambaff...hebu mpe mamayako huo mfuko...kisha unaskilizia kwanza upepo
 
Mkuu wa Kibiti

Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
566
Likes
611
Points
180
Mkuu wa Kibiti

Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
566 611 180
"Sasa huyo dada si anatafuta lawama!?Kila siku namuambia Seif huyu mwanamke hafai haelewi.Mwanamke gani anakataa nusu kilo anataka kilo wakati yupo peke yake!?Mpe mama apike tuile na ugali Seif ntamwambia mi asiniagize tena kwa huyu mwanamke mke wangu."Huu ungekuwa utetezi wangu,sijui ningeeleweka?
 
stable woman

stable woman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
3,347
Likes
3,245
Points
280
stable woman

stable woman

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
3,347 3,245 280
"Sasa huyo dada si anatafuta lawama!?Kila siku namuambia Seif huyu mwanamke hafai haelewi.Mwanamke gani anakataa nusu kilo anataka kilo wakati yupo peke yake!?Mpe mama apike tuile na ugali Seif ntamwambia mi asiniagize tena kwa huyu mwanamke mke wangu."Huu ungekuwa utetezi wangu,sijui ningeeleweka?
Mmh kwahiyo unajifanya wewe kuadi!
 
Mkuu wa Kibiti

Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
566
Likes
611
Points
180
Mkuu wa Kibiti

Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
566 611 180
Ndo maana yake,ukijifanya mjuaji utakosa mwana na maji ya moto
 
Forum statistics

Threads 1,250,246
Members 481,278
Posts 29,725,644