Dogo...jinsi ya kutayarisha hotuba.

Dogo...jinsi ya kutayarisha hotuba.

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Insha...
Swali: Andika jinsi ya
kutayarisha hotuba.
(40 mrks)
Dogo bila kujua hotuba ni nini
alijibu
hivi...
Kwanza osha hotuba yako
vizuri halafu toa
maganda.
- Katakata hotuba yako.
- Washa moto na uwekelee
sufuria.
- Weka hotuba kwenye
sufuria na uweke
nyanya.
- Baada ya dakika 5 toa
kwenye moto na
uandae.
Unaeza kula hotuba na
ugali ama maandazi.
 
Hhahahhaha kazi kweli hao ni dot com toto

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom