Vyovyote iwavyo ameboreka mno!!!!
Daah ukute katoka mbali kweli
Jaamani hata karibu cha uongo hakuna ? Wengine hatuli sana kumbukeni
Kuku watakuwepo?
Poa waalikwa wasiwe wengi sana! Vipi Khantwe atakuwepo?
special 4 u hiii mgeni peke yako
Weeeweeee senkyu senkyu senkyu miss neddy! Wenye wivu na huu mwaliko wajinyonge tuu
hahaha mshana jr usijali mida mida nakucall