marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Nov 30, 2012 #2 Labda anawaza akiwa mkubwa atapata fedha nyingi, atawajengea wazazi wake nyumba bora nk.......
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Dec 1, 2012 #3 Anawanza iwapo mzee wake atarudi na kipande cha muhogo ili azime njaa!.Maisha ya kitoto ni mazuri kwani ni kitu kimoja tu ndio mbele, tumbo lake!
Anawanza iwapo mzee wake atarudi na kipande cha muhogo ili azime njaa!.Maisha ya kitoto ni mazuri kwani ni kitu kimoja tu ndio mbele, tumbo lake!