ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Lakini kuna yule mbongo alionyeshwa juz bbc akiwa london, yeye anatoka CHIlE kuja TZ kwa baiskeli, au ndio tunamsubiri afike kwanza
Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani kwa nilivyomshuhudia huwezi amini kama ndio yeye katokea dar hadi hapa
Naomba nikukung'ute.Ni wendawazimu kuishangilia stars...tanzania hakuna tunakoweza labda mashindano ya kukung'utana kavu kavu
Hahaha...na timu aliyokuja kuitazama ikicheza ishaloweshwa...
Anasikitisha, timu ya taifa si timu ya kushangilia mtu mwenye akili timamu. Ile timu imejaa wachezaji wa kimazingaombwe (wachawi) na wasiojuwa mpira. Sema tu labda alitaka kwenda Dar na kupata sehemu ya kufikia hivyo akasingizia kaenda kuona timu ya taifa.
Amepata gari kutokea Ruaha Mbuyuni hadi Moro...(Km 180 hivi)...!!jamani huyo kijana kama amemaliza shule wamchukue Jeshini maana ana uzalendo sana na nchi yake!hao ndio wanaitwa wafia nchi!wanazidi kuisha siku hadi siku!
Ametimiza malengo yake...
mkuu, unaweza kukuta nia yake ni nzur ktka uhamasishaji wa timu, sema hii stars sio ya kuidhamin kabisa.
Leo tupo home na tumecheza na timu ya ukanda wetu huu, tena tukiwa na wachezaji wliotoka katika match za kufuzu world cup na tumefungwa, hv ingekuaje kma tungekuwa na timu tofaut na hii katika chan, yan sisi bado sna, tutegemee miujiza kama itakubali kuja upande wetu
Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani kwa nilivyomshuhudia huwezi amini kama ndio yeye katokea dar hadi hapa