DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Kumbuka pia nilisema Kuhukumu.
Kitu ambacho mohamed kamwe hawez kufanya.

Kitu ambacho Mungu pekee anafanya.
Kuhukumu viumbe siku ya hukumu ni kazi ya Mungu pekee

Siku ya hukumu Yesu atawekwa kizimbani hatoingia peponi mpaka ajibu maswali ya Allah

Na hizi DOGMA zenu ndio zitakazo mchelewasha Yesu kuingia peponi

Hatoingia peponi Hadi atamke mbele yenu nyinyi wagalatia kuwa yeye hata siku Moja hajawahi kusema kuwa Yeye ni Mungu

Quran 5:116
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
 

Mbona mnakinzana.

Quran 3:45
β€œβ€¦Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryam mwenye heshima katika dunia na Akhera, na Miongoni mwa waliopelekwa mbele na Mwenyezi Mungu”

Qur’an yaonyeshwa wazi kuwa nabii Isa bin Maryam ana heshima duniani na Akhera (Mbinguni), tena amepelekwa mbele na mwenyezi Mungu, hii maana, mbele kuliko manabii wote, Yeye ni zaidi ya nabii.
Hii hoja kuwa Yesu ni Mungu hakuna Kobaz anaweza kuelewa.
Lets agree to Disagree.

Mm ina nipa Ukakasi tu kuona Mtu anajenga Dini yake kwa kutumia historia na vitabu vya Dini ya mwengine . Na kuongeza story za uongo au kubadilisha majina ya wahusika.
 
Usikwepeshe mada niambie wapi Qur’an imesema yesu ni Mungu
 
Nyote ni matapeli
 
Umeandika utopolo mtupu, ila namba 5 ukipata ushahidi wa andiko kutoka Biblia mimi leo nakuwa muislamu. Vinginevyo kila ulichoandika watu wajue kuwa ni uongo.
 
Huu ndio ukweli
 
Hiyo aya,hairuhusu uongo,hiyo aya,inaelezeq wakati uko kwenye hatari,utumie mbinu yoyote,ujiokoe.Hsts Yesu alitumia mbinu hiyo,walipokuwa wanamtafuta ili wamsulubu,wakati Yuda ameshamsaliti,alikwenda kujificha,na pia alipoulizwa wewe ni mdalme wa wayahud?akasema wewe ndio unasema,kwa hiyo hapo alisema uongo,ili ajinusuru na kifo
 
Naumia sana kuona dini imejaa chuki yaani kwanini uislamu unachuki hivi.
Siyo chuki Uislamu unasema lililo kweli Angalia hawa walimwamini Yesu kwa uhakika
The "Ebionites" were an early Jewish-Christian group that emerged in the first century CE. They believed Jesus was the Messiah but not divine, emphasizing his role as a Jewish prophet who followed Mosaic law. They are known for their adherence to Jewish customs, including circumcision and the Sabbath, and their rejection of Paul's teachings.
 
Kabla sijaanza kukujibu, Kwahiyo unakubali Yesu alikamatwa akasulubiwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo biblia unayotumia,ya lugha ya kiswahili imeandikwa 1800,juzi tu hapa.
Manuscript zipo toka kabla ya Yesu

Quran imeandikwa juzi tu hapa 1924, Nyerere kashazaliwa

Imeandikwa na mfalme Fuad,Al Azhar University chini ya wahuni wachache

Ndio maana hakuna matini ya Uthman wala ya mudy

Saudia Arabia wenyewe hii Quran wameipata 1985 kutoka Al Azhar University
 
Biblia imeandika baada ya yesu kutoweka duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…