DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Umetufunguwq macho na masikio
 
UISLAMU UNARUHUSU UONGO

Aya inayojulikana zaidi inayotumiwa kuelezea taqiyya ni

Surah Al-Imran (3:28)

"Wamwache Mumin asiungane na waongo na wapambe wake. Na yule atakayewaunganisha wao, basi hakika ametenda dhambi."
"Isipokuwa wale waliolazimika na mioyo yao kuwa na amani kwao, lakini wao wamesalimu kwa kuficha imani yao..."
(Tafsiri huru)


Aya hii inatambua hali ambapo mtu anaweza kusema uongo kwa kuonusuru Imani au dini


Ushahidi kutoka Hadith

Hadith zinaonyesha kwamba Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu kuficha imani na kusema uongo katika hali fulani za hatari

Ibn Umar aliripoti kwamba Mtume alisema:

"Mtu asiyetambua taqiyya si miongoni mwa wapendwa wa Mwenyezi Mungu."
 
Naona shetani unahangaika na Wakristo!! Vipi, unakosa wafuasi wa kukuabudu?

Hao wanaokukataa ufahamu kuwa hao siyo wako. Walio wa Kristo, kamwe hawatakuja kwako.

Yn 10:27-30​

Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Mimi na Baba tu umoja.


Asante Yesu Bwana wangu kwa kuniwezesha kuwa miongoni mwa kondoo wako. Naomba unijalie hekima yako ili wakati wote niisikie sauti yako.
 


Tena uislam sehemu nyingine upo kinyume kabisa cha Mungu wa kweli.

Mungu wa kweli ni mkweli na mwaminifu katika ahadi zake. Lakini Mungu wa waislam wanasema eti bingwa wa hadaa.

Wakati ukweli ni kuwa mwingi wa hadaa ni shetani.

Kama waislam wanamwabudu mwingi wa hadaa, inaleta maswali mengi!! Je, ina maana wanamwabudu shetani, ambaye ni mfalme wa hadaa?

Tuzidi kuwaombea ndugu zetu hawa ili wamjue Mungu wa kweli ambaye kwake tumepewa wokovu kupitia mwanaye mpendwa Yesu Kristo, ambaye aliagiza watu wote wanaotaka kumfuata Mungu wa kweli, wabatizwe kwa JINA LA BABA (nafsi ya kwanza), NA la MWANA (nafsi ya pili) na ROHO MTAKATIFU (nafsi ya 3).
 
Mimi Bora nikatwe kichwa ,ila sio kurudi kwenye uislamu
 
Acha upumbavu. Kama jambo hulijui kaa kimya. Huwezi kushindana na Mungu ukashinda.
 
Kuna tofauti kati ya kuficha imani ili kujinusuru na hatari na kusema uongo ili kutetea dini ambako kiuhalisia hakuruhusiwi kama unavyodai
 
UONGO WA QUR'AN (3)

7:157 - Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa

ETI MTUME WAO TUNAMKUTA AMEANDIKWA KWETU KATIKA TAURATI NA INJILI


Huu ni uongo usio na soni wa Allah. Kaallah ni kaongo ni balaa. Kameharibu hata wafuasi wake nao wamekuwa waongo hakuna mfano.
 
UISLAM NI DINI YA UONGO ( ILITUMGWA NA WAARABU)

Taqiyya ni somo la waislam lakuikana Iman pale wanapokuwa hatari kukwepa kuuwawa au kuteswa maana yake ni somo la kudanganya kwasababu ya Imani,

Pia kwenye kutangaza uislamu wameamriwa kutumia uongo, ndio maana uislamu umejaa uongo wa kila aina ,

wanaweza kujifanya kuja kuwaona kipindi kukiwa na majanga si kwasababu wanapenda ni kwasababu wanadanganya kwa sababu ya uislamu, kumbuka waislam wameamriwa kupendana wenyewe TU ukikuta yupo karibu na mtu wa dini nyinyingine ujue niwaongo wanakufanyia taqiyya, uwongo na kweli hivichangamani ,

Mungu haruhusu uongo kabisa ila Allah ukidanganya sababu ya uislamu yeye kwake ni sunna.
 
Kamba kuna mjanja mmoja huko mashariki ya kati alifufuka halafu akapaa na kumsepa pilato
 
Hakika hoja Yako namba nne nimeifanyia utafiti mara 10 nikiwa secondary Kulikuwa na wanafunzi wanapanda mapepo Kisha tunawaombea kwa JINA LA YESU mapepo hayo yanatoka lakini nishajaribu au Mimi na jamaa zangu mara tatu kusema kwa jina la MUNGU PEPO LINACHEKA UKITAJA ALLAH linazidisha kucheka zaidi kwanini iwe ni YESU tu ebu nisaidie hapo.
 
Unataka kusema maandiko ya mnyaazi ndio ya ukweli wakati ni copy na paste ya dini zingine
 
Kijitabu kilichoandikwa 650AD
 
Et yanatokaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…