DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Niache kuwaamini manabii kuanzia Musa, Mzee yakobo ,Daudi, waliotabiri kufa na kufufuka kwa Yesu Tena kwa usahihi mkubwa nije NIMUAMINI tapeli Muhammad πŸ˜‚


Niache kumuamini Daniel ambaye alitabiri EXACTLY Hadi mwaka atakaokufa Yesu ,NIMUAMINI tapeli Muhammad πŸ˜‚


Hivi Unajua msomi wa biblia akiona VITUKO vya muhamad kuwa Yesu hakufa anacheka na anahitimisha Quran ni kitabu cha Shetani

Biblia imejaa unabii wa Yesu kufa na kufufuka zaidi ya nabii 300

Ni mpumbavu pekee ANAYEWEZA KUMUAMINI MUHAMAD
 

Kijana mbona huna hoja kabisa ? Jikite kwenye mada usiandike ilimradi tu.

Hadithi inaongelea wakati uliopita, wakati ambao Pombe ilikuwa imerubudiwa. Kipindi ilipo katazwa na wao wakakatazika.

Jenga hoja kijana.
 
Hawa walikua wapokeaji na walimu wa Qur’an, lakini walikuwa walevi kabla ya aya fulani kushuka.πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii inaonyesha hawakuwa β€œwatakatifu wasiogusika” kama mnavyojaribu kuonyesha.

Sijaelewa hoja yako hapa nini ?
 

Malizia hayo maelezo usilete uhuni wa kijinga.
 
Ikiwa Qur’an ilihifadhiwa kikamilifu moyoni mwao, kwa nini kifo cha wapokeaji kilileta hofu ya kupotea kwake?

Hizo ni hofu za kibinadamu hazihusiani na ahadi ya Allah kuilinda Qur'an.

Maana yake hata kama isingeandikwa na hata kama wangekufa wote walio hifadhi Qur'an, ahadi ya Allah Iko pale pale.
 
Sijawahi kumbia sababu sishindani, wewe nenda kamalizie maswali niliyo kuuliza kuhusu Matayo.
Niliyajibu na kukuuliza maswali yapo kama 10 hukujibu hata moja
 
Kijana mbona huna hoja kabisa ? Jikite kwenye mada usiandike ilimradi tu.

Hadithi inaongelea wakati uliopita, wakati ambao Pombe ilikuwa imerubudiwa. Kipindi ilipo katazwa na wao wakakatazika.

Jenga hoja kijana.
Nimekupa Hadith ,walikuwa walevi

Hizo nyingine ni ngonjera tu unaleta
 
Hizo ni hofu za kibinadamu hazihusiani na ahadi ya Allah kuilinda Qur'an.

Maana yake hata kama isingeandikwa na hata kama wangekufa wote walio hifadhi Qur'an, ahadi ya Allah Iko pale pale.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwahiyo zaburi na Torati zilimshinda kulinda
 

Wewe hiyo Aya ya mwisho mbona umeichakachua ni nani aliyekupa hiyo tafsiri

Tafsiri sahihi ni hi hapa watakao amini hapo kabla ya kufa sio Isa ila ni hao watu wa kitabu

Quran 4:157
Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini.

Quran 4:158
Bali Mwenyezi Mungu alim- tukuza kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

Quran 4:159
Na hawi katika Watu wa Kitabu ila hakika atamuamini yeye kabla ya kufa kwake. Naye Siku ya Kiyama atakuwa shahidi juu yao.
 
Nimekuwekea na Hadith ,halafu unaniuliza Mimi tena

Hu ndio ujinga unao penda kuandika.

Jibu maswali niliyo kuuliza. Nakuuliza hivi sababu unachokiandika hakina maana.
 
Nimekupa Hadith ,walikuwa walevi

Hizo nyingine ni ngonjera tu unaleta

Walikuwa walevi kipindi gani ? Hii ndio hoja ya msingi.

Unatakiwa uunganishe hoja yako na maandiko pamoja na uhalisia ili ilete maana, kinyume chake inakuwa unaruka ruka na kukosa hoja kama hivi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwahiyo zaburi na Torati zilimshinda kulinda

Hazija mshinda, Allah ameepukana na sifa ya udhaifu. Hakutaka kuzilinda sababu alikadiria ya kuwa muda wake ukiisha ni basi.

Ndio maana Leo hukuti matini ya Injili Wala Taurati Wala Zaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…