kama ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya historia,,,, look at the age difference kati ya hayati abeid aman karume na mkewe wakati wanaoana...... mi nilipiga hesabu mpaka nikahesabu vidole vya mikono na mguu na baadhi ya vijiti nikapata jawabu kama 30yrs age difference.....so age ain't nothing but just a number
si nlikusikia ukisema jinsi hawa vijana wadogo walivyokuumiza mamii!!..
Vi feelings naviona tena vinakuja kwa kasi ya ajabu......
nimedate na mtu tulikuwa the same age,what happened left me with a broken heart
sema hii age difference nimeiona kama ni kubwa,I just dont know for real.........
Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,
Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!
hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!
sasa what makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.
Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!
dada mi sioni kama umri huo wako na wakwake ni wa kutisha au kukuzuia wewe na yeye msiwe pamoja kama kweli mnapendana....pamoja na kufuata moyo wako shosti, umri huo ni wa kawaida sana kwa wapenzi. Hapo kama angekuzidi labda 40 yrs, ndio tungepanik humu ndani.....so kwa upande wangu mimi nakusapoti 100% kama umempenda naye kakupenda basi mtualikage kuja kula ubwabwa....kila la kheri Inshaallah!
Hadithi hii inataka kufanana na yangu, ila mazingira mliyokutana ni tofauti. Wa kwangu anafuraha sana na anasema 'anaona fahari sana kuwa mdogo kuliko mpenzi wake'. Inapendeza sana pale tunapokuwa tunataniana kitoto toto na kikubwa kubwa. 20+ ni umri tosha, kitu muhimu, 'muwe na lengo moja', muongee lugha moja.
hahaa mabo yakienda sawa kwenye kula ubwabwa ntakualika,
nashukuru sana kwa ushauri wako,nahisi my answer will be YES
baada ya wana MMU kunipatia ushauri wa maana.ASANTE
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
Heaven on earth nimeshindwa kupitia post zote , ila nimesoma between the line na sijaona kama kinachokutatiza zaidi ni tofauti yenu kiumri bali ninacoona mimi ni tofauti yenu kwenye kufanana kama nilivyo-quote hapo juu.
hiyo tofauti ya age sioni kama ni tatizo , ila kama hamuendani hilo ni tatizo............
hata mimi wa kwangu nimemzidi miaka 8 lakini hatuoni hiyo tofauti kwani mambo yetu yanaendana.
ASANTE asakuta same yeah umri ni 10 yrs lakin
hata ukituona ni kazi ku notice different za umri......
ni vitu vidogo vidogo anavyosema inabidi
ufanya hivi fanya vile,ndo sometimes inanipa shaka
ninachokifahamu wanawake smart kichwani siku zote hupenda kupata wanaume smarter kichwani zaidi yao ,,,,, na kuna ambao wanajisikia faraja na raha sana wanapokuwa na mwanaume smart kichwani , kiongozi , mshauri , na rafiki...........
kama unadhani unaweza kuishi na kudumu kwa hizo tofauti , just go for him..... nionavyo mimi huo umri siyo tatizo.
Thank you i think its going to be that way(BOLD)
btn I miss you,umekuwa adim sana
ngoja ukifikisha 25 na kuendelea halafu walevi wanakufukuzia. utamkumbuka huyo wa ten years difference, maana watakao kubeba wewe pengine ni 25 to 25 years diffrence. tunawaona mitaani kwetu hawa wadada. mfano kale katoto ka mengi, faraja kotta, niendele???
sister hapo utajijeijei