Hapo mwanawane olewa hiyo difference ndo normal na inatakiwa hata heshima hapo inakuwepo na usisahau kua mwanamke ndo anakua wa kwanza kuzeeka for that matter mtazeeka pamoja na heshima itakuwepo kama kawa
ushauri mzuri huo, ila nawe pia fanya maamuzi yako kwani wewe ndo utaenda kule, na yatakayokukuta huko yatakuhusu wewe,i mean it is your life, and your choice! wachache waliopata 100% spouses wenye sifa kama walizozitaka awali.
Wataalamu wa mahusiano/saikolojia/mapenzi wanashauri juu ya age difference ktk mahusiano ambayo haizidi miaka 10(10 years)
hapa unamwambia mwekundu au ni ujumbe wangu.........
Vi feelings naviona tena vinakuja kwa kasi ya ajabu......
nimedate na mtu tulikuwa the same age,what happened left me with a broken heart
sema hii age difference nimeiona kama ni kubwa,I just dont know for real.........
huyo aliekuacha with broken heart haimaanishi kua umri ndio ulisababisha ila ni tabia 2 ya m2 pia wa2 hutofautiana ktk mtazamo wa maisha na mahusiano,,waeza date m2 aliekuzd umri na bado akakuumiza kwa kua pengne wakat anaingia ktk uhusiano alikua ana yake tofaut na upendo au ukadate m2 pengne mwalngana au kakuzd only 2yrs mkadumu! i dated the guy alienizd 10yrs and he left me with broken heart
ktk uhusiano kinachomata ni true love ILA umri pia una nafac yake maana eti huez sema tc juct a namba halaf mvulana akadate na mwanamke aliemzidi 25yrs!!!
ooh! ni Heaven on earth, aliyeomba ushauri; kueleweka napo vigumu!
mkuu ukisikia heaven on earth ndio hiyo. Ukiwa kwenye 20's unatakiwa upate wa 30's kama mna lengo la long term relationship..!! hao wa same and close to your age, niwazuri labda kwa kuruka nao break dancing tu, only few wana-sustain in the relation.Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,
Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!
hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!
sasa what makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.
Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!
Hiyo ndio age inayofaa, Na mkibahatika kuoana ndoa yenu itadumu. Epuka kuolewa na mtu mnaefanana umri
mkuu ukisikia heaven on earth ndio hiyo. Ukiwa kwenye 20's unatakiwa upate wa 30's kama mna lengo la long term relationship..!! hao wa same and close to your age, niwazuri labda kwa kuruka nao break dancing tu, only few wana-sustain in the relation.
Mimi na mke wangu tuna age difference ya 12 years..!! tunaishi kirafiki sana, na tukiwa pamoja we behaved and yet behaving like kids..!! Sasa tuna watoto, na tunaishi vizuri tu. Omba Mungu awe mume bora tu basi..!! Best wishes..!!
Hapo mi kidogo nitakua tofauti.
Usishtuke! nimekusudia hiyo bahati uliyoipata ni kama "heaven on earth" okay!we mathcom nikoje!!!!!!!!!!
swali;je kwenye swala la kuniambia fanya hiviusifanye hivi is it OKAY?
we ulikuwa ulikuwa una mcontroll mkeo some how just because of age!!!!