Does Magufuli care?

Does Magufuli care?

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,948
Reaction score
1,524
Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.

Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.

Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.

Mmemusema Makonda wee,alijali?

Mmemusema Kalemani,alijali?

Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?

Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.

Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.

The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.

But at whose expense?

Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.

Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.

Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.

Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima

But Does Magufuli care?
 
Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.

Aliyekwambia kazi ya upinzani ni kumfanya Marufuku ajali ni nani? Upinzani wanatekekeza wajibu wao, na miongoni mwa wajibu wao ni kukosoa maamuzi au matendo ya hovyo au yaliyo kinyume na katiba-kwamba atajali au hawajali sio suala la upinzani pekee.

Kama upinzani walipiga kelele kwamba Bashite ametenda kosa la jinai au ana tuhuma za jinai na Rais akamkingia kifua, wapinzani wametimiza wajibu wao. Na wananchi nao wamezidi kumwelewa Rais wao.

Wapinzani wnapaswa kufanya kazi zao kwa kuangazia mambo yanayotokea kila siku. Ajenda za upinzani zinapaswa ziangazie utendaji wa serikali. Huwa siwaelewi mnaposema wapinzani hawana ajenda wanarukiarukia!
 
chabusalu hakuna aliyekataa,waache kudandia hoja kila mara rais anapoziibua!

Wakomae kusimamia ajenda zao wenyewe wanazoziibu mpaka zizae matunda na siyo kuziacha hewani kwa kimbilia zingine !
 
Kuna muda naanza kuamini kuwa Magufuli aidha "anafanya" blunders za makusudi au kwa bahati mbaya ili apate kuzungumzwa na washindani wake wa kisiasa.

Haiwezekani hata wiki haijaisha hoja zote madiwani kununuliwa,Lissu kushambuliwa zishapoa na sasa kila mtu anazungumzia uwalakini wa Magufuli kumteua CC wa Bunge.

Niwaulize wapinzani ni lini Magufuli alishawahi kujali kauli zenu.

Mmemusema Makonda wee,alijali?

Mmemusema Kalemani,alijali?

Na sasa mnausema uteuzi wa Katibu wa Bunge,atawajali?

Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.

Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.

The Opposition is dying to be heard and for public sympatiy.

But at whose expense?

Magufuli amewarushia fupa la CC wa Bunge mmebweka,na kuhamisha mijadala yote.

Na najua mtasema wee,na kutishia kwenda kwa mahakama ya wananchi na ile iliyo chini CJ.

Na najua na leo atawarushia fupa jingine wakati wa uapishaji wa wateule na mtasahau ajenda zote mnazozipigia kelele ikiwemo uteuzi CC wa Bunge.

Kama kawaida baada ya hotuba yake leo mtaongea sana kwa wiki nzima.

But Does Magufuli care?
Ipo siku utashangawaza konda akimdai mtu mwenye kitambi na suti nauli halafu awe hana. Abiria watalaumu kuwa hataki tuu kulipa ila sio kakosa. Ndio wajamaa waliovyoumbwa kujibia watu maswali kwa vile hawaamini majibu mbadala.
 
mshana jr then if that is so,i would rather advice the Opps wing to stick to their ajendas,and work hard to make sure they bear fruits first before hopping to other irrelevant ajendas.
 
Ni moja ya jukum la wapinzani. Japo wapinzani wetu wapo weak sana, chama tawala saivi kinaishi kwa nguvu ya vyombo vya dola tuu.
 
Mtu anavunja katiba, asisemwe!? Sasa mnataka opposition waseme nini jamani? Online Pastor kwanini usijikite kwenye dini tu, you are too weak in politics!
 
mshana jr then if that is so,i would rather advice the Opps wing to stick to their ajendas,and work hard to make sure they bear fruits first before hopping to other irrelevant ajendas.
How can their agendas bear fruits wakati bunge linaendeshwa kwa remote toka ikulu?
 
GreenCity hizi i.d fake tunazozitumia humu zisikudanganye.

Miye nimetoa huo ushauri kwa Upinzani nikiwaasa kuepuka kuwa bendera fuata upepo kwa kila fupa linalotupwa na Rais au Serikali.

Bali wakomae na ajenda kuhakikisha zinazaa kwanza matunda kabla ya kudandia nyingine!
 
Back
Top Bottom