DODOMA : Siri nzito tulizonazo sisi wahudumu wa nyumba za kulala wageni

Mimi nikajua unaleta mrejesho ya namna watumishi waliohamia Dodoma wanavyotufanana! Hizo couple ulizozianisha mbona ndio zimeifanya biashara ya nyumba za wageni iendelee hapa nchini...ila kwa Dodoma imekuwa kwa kasi ,kutokana na ujio wa UDOM ...na sasa bila shaka ..Serikali kuhamia Dodoma ...hili linahitaji saa nzima kulichambua!
 
Duuh
 
Kundi linaloongoza kwa uzinzi ni mabaamedi na kundi LA pili linalofuatia ni watumishi wanawake. Wanawake ambao in wafanyakazi wanatiwa jamani,hadi aibu. Muda was kazi ukiisha anajirudia nyumbani mapema, na weekend hatoki home. Uzinzi wao in muda wa kazi kuanzia Saa 6 had I saa 9 .kwa walimu wa hadi saa 10:30
Mkoa gani
 
Na wewe uko dodoma?
 
Upo dom?
 
Huyo mheshimiwa anaegonga mashogast Ni yule mwenye. Mbwembwe nyingi, mshamba Fulani hivi na mpenda ligi zisizo na mashiko.
 
Wakuu. Amani iwe nanyi

Kwa privacy sitataja mm ni mfanyakazi wa lodge gani Dodoma.

Kiukweli yanayotendeka nyumba za kulala wageni (guest house ) , lodge , hotelini na zile
tuitazo guest bubu ni ya hatari , yanafikirisha na ni maasi makubwa sana.

Watu wanakulana aisee jamani. Na miongoni
mwa ambao wanafunana sana ni :-

1. Walimu(me) Vs Wanafunzi (ke)

2. Wahadhiri wa vyuo Vs madenti wao

3. Bodaboda Vs wake za watu

4. Wanafunzi Vs Wanafunzi

5. Waheshimiwa Vs videnti vya chuo

6. Mashoga Vs Waheshimiwa

7. Waume za watu Vs Wake za watu

Na siku hizi watu wanaumizana nyakati za mchana (hasa wafanyakazi).

Mtu X na mtu Y wote wanaaga kama wanaenda kula breakfast or lunch. Nusu saa kwao inawatosha mno kufanya kila mtu. Jamaa analipa room ya elfu 80 per day , anagonga mke wa mtu dakika 20 anasepa zake mazima. Siku imeisha.

Mchana kuna maasi sana Dodoma. Mtoto anaaga home eti anaenda dukani dakika 20. Jamaa anamnyakua mahali na boda anaenda kumtafuna. We unaona yupo full time home kumbe unalizwa.

BodBoda na Bajaji wana siri nzito sana. Wanatumika sana kuleta na kufuata wake /waume za watu Lodge / Guests.

Mm huwa naona mpaka wake wa jamaa zangu wanakuja kugongwa. Mara nyingi tu. Anakukatia mkwanja unauchuna.

Mambo mengi muda mchache!
Usafi uko vipi? Sijawahi kukaa lodge, na mambo kama haya, nahisi kinyaa kuingia , wacha kwenda kulala. Tueleze mnasafisha aje ili mgeni awe na amani?
 
Back
Top Bottom