DODOMA : Siri nzito tulizonazo sisi wahudumu wa nyumba za kulala wageni

Wakuu. Amani iwe nanyi


Kwa privacy sitataja mm ni mfanyakazi wa lodge gani Dodoma.


Kiukweli yanayotendeka nyumba za kulala wageni (guest house ) , lodge , hotelini na zile
tuitazo guest bubu ni ya hatari , yanafikirisha na ni maasi makubwa sana.

Watu wanakulana aisee jamani. Na miongoni
mwa ambao wanafunana sana ni :-

1. Walimu(me) Vs Wanafunzi (ke)

2. Wahadhiri wa vyuo Vs madenti wao

3. Bodaboda Vs wake za watu

4. Wanafunzi Vs Wanafunzi

5. Waheshimiwa Vs videnti vya chuo

6. Mashoga Vs Waheshimiwa

7. Waume za watu Vs Wake za watu

Na siku hizi watu wanaumizana nyakati za mchana (hasa wafanyakazi).

Mtu X na mtu Y wote wanaaga kama wanaenda kula breakfast or lunch. Nusu saa kwao inawatosha mno kufanya kila mtu. Jamaa analipa room ya elfu 80 per day , anagonga mke wa mtu dakika 20 anasepa zake mazima. Siku imeisha.


Mchana kuna maasi sana Dodoma. Mtoto anaaga home eti anaenda dukani dakika 20. Jamaa anamnyakua mahali na boda anaenda kumtafuna. We unaona yupo full time home kumbe unalizwa.

BodBoda na Bajaji wana siri nzito sana. Wanatumika sana kuleta na kufuata wake /waume za watu Lodge / Guests.

Mm huwa naona mpaka wake wa jamaa zangu wanakuja kugongwa. Mara nyingi tu. Anakukatia mkwanja unauchuna.

Mambo mengi muda mchache!
Na nyie wahudumu wa lodge,hotel ,wa kike Dodoma mnapigwa sana acha umbeya!japo umejiita mwanaume!
 
Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo
-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida nitampa mtaji mkubwa wa kufanya biashara.
-awe mchaMungu anayeheshimu dini zote ila yeye mwenyewe asiwe mtu wa dini Sana ,pia awe na utambuzi wa Hali ya juu awe haamini Kama Kuna shetani,wala Kuna uchawi awe anajua ukweli kuhusu hizi dhana.
-awe anapenda kujifunza zaidi na hasa kusoma vitabu vya dini zote,ajue angalau history of the world na knowledge ya mambo ya afya hasa kwa kutumia vitu vya asili Kama vyakula, viungo n.k.
-ajue angalau kwa undani knowledge hizi za duniani yaani partial truth Kama vile technology, science, chemistry,physics,laws,nature na kisha ajue deep knowledge ile yenyewe secret knowledge yaani universal Truth aijue na awe tayari tujifunze naye kwa undani kuhusu habari za MUNGU
-awe anapenda kucheza tennis au volleyball yaani kila siku awe tayari kucheza na Mimi
-awe tayari kunitii chochote nitakachomwambia yaani asichoke kunisikiliza
-awe anajali Sana kitu kinachoitwa muda awe anajua umuhimu wa kufanya maandalizi mapema ya Jambo fulani.
-asiwe mtumiaji mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii angalau awe anasoma news za kimataifa,au Kama Ni mtandao nimkute Yuko wikipedia,quora au JAMII FORUM.
-kwenye upande wa siasa awe Anamkubali DKT John pombe Magufuli.
-asiwe Ana ndoto za malengo ya kuja kuwa tajiri Sana kiufupi aridhike na maisha ya kawaida..ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu.
-asiwe mtu wa kuamini Amini habari za kusikia na kusimuliwa kwa maneno.
-awe havai wigi,Wala kusuka suka marasta saloon awe na natural hair.
-asiwe na gubu awe Ni mtu mbunifu wa kuitafuta faraja yaani katika mawazo yake awe anajaribu kugundua vitu ambavyo vitatufanya tuwe na faraja
-asiwe mtu wa kusubiri matatizo yatukute Kama vile magonjwa yaani tuhakikishe tunadhibiti maradhi fulani kabla hayajatukuta kwa kuzingatia kanuni za afya,usafi,chakula, mazoezi n.k.
Kama yupo aliye serious tufanye maisha naomba Ani PM
Kifupi. Sema unataka kuoa malaika. Badilisha dini uwe muislamu. Jilipue halafu mke mwenye sifa hizo utamkuta ahera tena utakuta 72
 
Mkuu wewe mwenyewe unafanya kazi lodge au umeletewa hii habari na mhudumu wa lodge maana kumbukumbu za thread mbalimbali ulizowahi kuweka hazioneshi kama hata hiyo kazi ulishawahi kufikiria kuifanya!
 
Hata watoto wao hawawahurumii na kuwapenda jamani?
Mwanaume/mwanamke unafanya uzinifu/uasherati wakati wanao wadogo sana
Hivi huwa mnawafikiriaje watoto wenu wadogo?

Je mnawapenda kweli?
Je mnawahurumia?

Mbona nyendo zenu zionaonesha kinyume chake?
 
Binafsi huwa nasema siamini kama kuna mke watu hagongwi siami kabisa wanaume tunajielewa tuachepuka sana tu.lakini utakuta mtu anasema mimi mke wangu hawezi chepuka namuamini sn huwa nacheka mbaka mbavu zinauma.nimewahi gongana gest na mke wa rafiki yangu ambae sikuwa kuamini kama anachepuka yeye anatoka mimi naingia,ivi unajua kutongoza mke wa mtu ni rahisi sn kuliko mwanamke wa mtaani ikiona mke wa jamaako anagongwa na wako hivohivo na watu wanajua ila wanauchuna.
 
Mkuu umejuaje kama ni mke wa mtu na mme wa mtu..wat ifni mume na mke..utajuaje
 
Binafsi huwa nasema siamini kama kuna mke watu hagongwi siami kabisa wanaume tunajielewa tuachepuka sana tu.lakini utakuta mtu anasema mimi mke wangu hawezi chepuka namuamini sn huwa nacheka mbaka mbavu zinauma.nimewahi gongana gest na mke wa rafiki yangu ambae sikuwa kuamini kama anachepuka yeye anatoka mimi naingia,ivi unajua kutongoza mke wa mtu ni rahisi sn kuliko mwanamke wa mtaani ikiona mke wa jamaako anagongwa na wako hivohivo na watu wanajua ila wanauchuna.
Mkasalimiana?
 
Guest inaruhusu vipi Wanaume wawili waingie room moja??? Hadi useme mashoga na waheshimiwa
Palipo na nia kuna njia. Mfano mmoja ni mtu kutangulia chumbani harafu mwingine anajifanya yupo restaurant/bar akifanya yake then anazama room kimyakimya bila kupita kwa receptionist. Hii iInatumika sana pia kwa wake za watu na wanafunzi
 
Hua naumia sana kulipia loji 80,000 halafu nakaa masaa mawili nasepa. Wizara husika ifanyie kazi
 
Back
Top Bottom